Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

Watu makini sana huwa wanafanya hivyo ya kuchambua maoni bila kukurupukia kujibu
Yes, huwa wanasubiri watu wote waongee ili wajipatie points na udhaifu katika kile kilichosemwa na wengine.
 
Pasha pasha ya chadema hii sio mchezo
unazingua mkuu, neno punwa umetoa wapi au umesoma mkwawa na ifunda au tosa
 
Kwa hiyo ya October 2025 yanaihusu CCM yenyewe na ijisafishe.
Nani wa kuisafisha?
Je wapo majasiri kwa sasa au wote ni wafuata upepo hata kama uelekeo ni wa kupotea?
 
Kwa kifupi kama ilishindikana 9 dec.2025! Sijui kama 0707 itawezekana!
 
Oooh! Sasa nimeanza kukuelewa.
Hii inamaanisha Sukuma Gang na Wanaharakati hawatakuja kuwahi kuwa team moja?
Sukuma gang au mwendo wa kimagufuli hawawezi kabisa kua kitu kimoja na wale wanajiita wanaharakati kwa sababu wanaharakari lao ni tofauti na wanafadhiliwa na nchi za kibeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…