Wamekutelekeza wapi na Nani aliyekutelekeza? Ulitaka ubebwe mgongoni, umekuwa mwari(li) wa Kizaramo? kila wanapokwenda uwe nao?Hongera kwa kuwatelekeza Watanzania waliowaajiri na kuwapa madaraka yaliyowalevya mazima.
Na ndivyo inavyotakiwa. Hakuna shortcut kwenye "virus invasion".Ndiyo ila nipo mzima wa afya. Nafuata njia zote za kujikinga. Mengine namuachia Mungu.Inshallah tutavuka salama .
Fuatilia habari za kimataifa. Na wamesema wanaelekea kuipata. Kwani hata BoJo alitaka kutumia hii njia sema projection ikaonyesha watakufa watu 500,000 ndo wakaamua kuachana nayo.
It is irresponsible to make the whole nation a guinea pig for something not sure yet how it works, what if your expectations are contrary to the actual results? - You just gonna cause a genocide of millions
Acha uongo wewe dada huoni aibu ... Eti serikali ya Sweden wameamua kujitoa muhanga labda Sweden ya kwenu Tandale ...Wao wanafanya zile basics. Mfano kunawa mikono,social distance. Ila Shule,kazi,usafiri,bar vinafanya kazi. Wana vifo vingi kuliko nchi yeyote hapo Scandinavia. Ila wameamua kujitoa mhaga. Watu wengi waugue ili baadae maambukizi yapungue.
Ndo nikasema kwetu Tanzania haitawezekna kutokana mpaka sasa hakuna vaccine na pia nchi yetu mfumo wa huduma ya afya ni uozo mtupu. Hivyo mpaka ujenge hiyo kinga utakuwa umeua raia wengi mno. Mimi naona catastrophe kabisa.
Katika immunology ya kila siku, sterile immunity is hard to achieve, sijui kama kuna ugonjwa ambao victim wake wamewahi ku acquire sterile immunity by natural infection todate! (stand to be corrected here). Hivyo huwezi kuleta majaribio ambayo hayako supported na science! Utaua watu wengi sana.Mbaya zaidi hakuna utafiti tuliofanya kuonyesha kuwa waliougua COVID-19 wamejijengea lifelong immunity?
Wewe hata sikurlewi unasema nini au argument yako ni nini?Not all deseases the body is able to make natural immunity after being exposed. Hivi huwa hamuelewi?, Acheni kussuport genocidal stratergy nyinyi. Common flu caused by influenza ni mmojawapo ya ugonjwa ambao hakuna natural immunity baada ya kuupata na hakuna vaccine ya uhakikandiyo maana kila mwaka huko Marekani wanapata shot mpya ya flu.
Sasa bahati mbaya COVID-19 siyo flu ya kawaida mortality rate yake ni 3% to 4% wakati hiyo common flu mortality rate yake ni 0.1% tu.
Tusiwageuze wananchi guinea pigs, watakufa wengi kwa uzembe wa serikali
Wewe hata sikurlewi unasema nini au argument yako ni nini?
Unayo "shot" ya Corona?
Afadhali kichaa anayejua kuandika kuliko kichaa asijua hata kuandika neno Muda bali anaandika Mda!Kichaa huwezi kuelewa chochote.
WrongSweden wanatumia. Hakuna Lockdown Sweden na shule hazijafungwa.
Missile of the Nation,
Inaonekana uelewa wako wa herd immunity ni mdogo sana jitahidi uendelee kujifunza zaidi. Hasa jitahidi kujua ni wakati gani herd immunity inakuwa activated.
Haiwezekani ukasema hakuna immunity ya COVID-19 sijui umefanya research lini wakati ndiyo muda huu ugonjwa umeaanza na utajua tu mgonjwa ana herd immunity baada ya kuugua na kupona.
Wagonjwa waliyopona ni wengi sana ukilinganisha na waliokufa hiyo tu inaonyesha immunity ya wagonjwa ndiyo iliyofanya COVID-19 apotee mwilini mwao. Hata hapa Tanzania wapo kibao wamepona bila kunywa dawa yoyote.
Actually Corona virus is lowering BP while increasing heart rate to 100. So pressure does not increase chances of dyingHerd Community haifai kwa Tanzania. Wengi wetu afya zetu ni mbovu sana. njia hii kama inatumika kisiri siri tujue kuwa tutakufa sana hadi itatisha ni uhakika 90% ya watu wenye presure watakufa; 50% ya wazee miaka 75+ watakufa, wagonjuwa wa kisukari 50%, Hiv 50% etc, tutajuta kama hii njia itatumika kwa
Halafu nyie mmenielewa vibayaaaa.Mnafikiri nipo pro Herd immunity in Tanzania.Wrong