Je, kutafutiwa mke wa kuoa ni vibaya?

Je, kutafutiwa mke wa kuoa ni vibaya?

Sio vibaya inategemeana na mke mwenyewe utakaeletewa, je mtaendana? utampenda na kumkubali? Atakupenda na kukubaliana na hali yako? Zamani wazee wetu ndio ilikuwa hivyo sema walikuwa wanazingua kwenye kulazimisha hata kama hujampenda ukishataftiwa ndio huyohuyo
 
Ahsante kwa mchango wako,kumbe sionmbaya kijana ukaomba msaada jwa wazazi kukutafutia mke
 
Kuna muda utafika utagundua kupata mke sio jambo

Kwanini,
😁😁 kwamba sijui? Nyie vijana nawajua ,mnataka mke wa maonyesho, halafu hapo hapo mnataka awe na tabia njema na vigezo vingine vyote kwa wakati mmoja ,wake hawa huku wanabeti ona sasa.
20250113_210029.jpg
 
Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya?
Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
Me sidhani kama kuna ubaya ni approach nzuri kwa kuwa wao wanaweza kuwa wanawajua watu wazuri wanao faa kuwa mke ila huoni kama inapunguza heshima kidogo kuona umetafutiwa mke kwa kipindi
 
Upo tayari kujifuza kupenda?

Unaweza kujifunza kupenda?

Umagharibi umeleta uhuru, watu hawawezi tena kujifunza kupenda kama zamani, wanaona ni lazima umjue mtu kwanza,

Ila mimi naona hakuna shida.

Ingekuwa maamuzi binafsi ni sahihi, basi watu walioingia kwenye mahusiano kabla ya ndoa wasingeachana.
 
Back
Top Bottom