Je, kutafutiwa mke wa kuoa ni vibaya?

Je, kutafutiwa mke wa kuoa ni vibaya?

Me sidhani kama kuna ubaya ni approach nzuri kwa kuwa wao wanaweza kuwa wanawajua watu wazuri wanao faa kuwa mke ila huoni kama inapunguza heshima kidogo kuona umetafutiwa mke kwa kipindi
Hicho ndio nahofia , vip heshima itapungua kwa mke au jamii ndio itaounguza heshima kuwa nimetafutiwa?
 
Upo tayari kujifuza kupenda?

Unaweza kujifunza kupenda?

Umagharibi umeleta uhuru, watu hawawezi tena kujifunza kupenda kama zamani, wanaona ni lazima umjue mtu kwanza,

Ila mimi naona hakuna shida.

Ingekuwa maamuzi binafsi ni sahihi, basi watu walioingia kwenye mahusiano kabla ya ndoa wasingeachana.
Comments bora sana kaka sina hata cha kuongeza, shida ni jamii tu sijui inachukuliaje hili swala
 
sio vibaya, Mbona zamani vijana walikuwa wanachaguliwa wenza. Kikubwa mme na mke wajue wajibu wao kwenye ndoa.
Naam
Kwa karne hii hapana na haifai kabisa. Huo utaratibu ulifaa sana nyakati za nyuma kidogo, kwa sasa haiwezekani kuchaguliwa mke.
Naomba unipe japo sababu kwanini haifai, kumbuka ni mke sio mchumba kupata mke wa kuoa sio jambo dogo hata waliotafute wenyewe wengi wameachna
 
Naam

Naomba unipe japo sababu kwanini haifai, kumbuka ni mke sio mchumba kupata mke wa kuoa sio jambo dogo hata waliotafute wenyewe wengi wameachna
Nakupa mfano, unaishi Dar na kufanya kazi huko. Wazazi wapo Kigoma kijijini, wanakuambia uje uoe binti wa kijijini ambaye humjui. Huyu binti hata kama yupo kijijini haimaanishi tabia yake ni njema, siku hizi hata huko hali ni mbaya sana. Zamani iliwezekana kwa sababu maadili hakuna, sio mabinti wala vijana wanaojitunza, unaweza kuchaguliwa mchumba na msidumu, mkaja kusingizia "kuchaguliwa mchumba"!
 
Hiyo sababu sioni kama inamashiko, kuomba kuchaguliwa ni kwa kuwa wazazi huwa wanajua mke mwenye tabia njema ninyupi so kwa tabia labda umbadilishe wewe ila wazazi hawawezi kukuletea mke mwenye tabia mbovu mtoto wao
 
Kwa kizazi hiki kilichokosa maadili huwezi kumchagulia mtu mke/mume. Vijana wameharibika, utanichagulia vipi mke, zamani tulikutana na bikira so unajua kabisa hapa nimepata mtu, leo hizo bikira hakuna, ni bora kumuacha mtu achague mke based on anavyoona mwenyewe kwa mapungufu anayoyaona na kufikiri kwamba anaweza kuyahimili.
 
👏👏, ahsante sana
Je kwa kijana wa kiume anaetaka mwenyewe achaguliwe kuna shida hapo?
 
Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya?
Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
Mwanamke wa kutafutiwa huwezi mjua kiundani zaidi maana hata hao wanao kutafutia ni wazi hawamjui kwa upana,maana wazazi wa binti hawawezi kumuongelea vby binti yao kwa wazz wa mwanume,mana shida yao ni mahali na binti yao aolewe haya mengine watawaficha,hivyo tafuta utakaempenda kisha msome taratibu kwa kipindi chenu cha uchumba ili ujue madhaifu yake
 
Mke mtafute mwenyewe utakaempenda umshawishi akukubali sio wa kutafutiwa. Huwa hawadumu kwakua ulikua huna tamaa nae
kuhusu mke, hata wale waojitafutia bado maamuzi yao yanakuwa influenced directly ama indirectly na watu walio karibu nao.

Ndiposa kati ya ndoa 10, ndoa 9 wanandoa wamechaguliwa wenza.
 
Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya?
Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?

Hakuna shida mkuu!

Muhimu ni ikiwa umemuelewa ama umemuelewa na kumpenda huyo uliyechaguliwa.
 
Back
Top Bottom