Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
Inawezekana kabisa, mapenzi hayana formula kuna jamaa walioa madem wa humu jf.. yani umeona profile umetekenya kidogo ngoma isambe iyoo.. ukifanikiwa kupata wa jf basi yeyote hatokushinda, tukutane Love connect ntakuelekeza mule sifa wanazopenda mwiko kusema huna hela na usiwe mbaguzi wa singo maza ishi humo.