Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kama umeona shida kupata mke mwema basi kuomba kwa wazazi ni jambo jema sana
Wao wanajua familia nyingi na wanawajua watu wema
Kama utapata kwa njia hiyo ni vizuri sana
Unakuta mama anamjua mzazi mwenye ukarimu na tabia nzuri na watoto wenye heshima
Bora kuwa na mama mkwe na baba mkwe wema kuliko mama mkwe fyatu hapo ukosee kidogo kwa mwanae, atajaza mtaa