Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Waarabu na wahindi wanatafutiwa wake na ninadra sana kuona wakiachana. Wazazi wanajua mambo mengi na familia nyingi zenye malezi mema hivyo wanao kuchagulia mke ni mara chache sana ukakuta hana maadili tafauti na hawa wakujitafutia hujui hata background yakeNdugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya?
Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
Naunga mkono hoja 💯Waarabu na wahindi wanatafutiwa wake na ninadra sana kuona wakiachana. Wazazi wanajua mambo mengi na familia nyingi zenye malezi mema hivyo wanao kuchagulia mke ni mara chache sana ukakuta hana maadili tafauti na hawa wakujitafutia hujui hata background yake
Nakuunga mkono 100000% umemaliza kaka na hiyo ndio point yanguKama umeona shida kupata mke mwema basi kuomba kwa wazazi ni jambo jema sana
Wao wanajua familia nyingi na wanawajua watu wema
Kama utapata kwa njia hiyo ni vizuri sana
Unakuta mama anamjua mzazi mwenye ukarimu na tabia nzuri na watoto wenye heshima
Bora kuwa na mama mkwe na baba mkwe wema kuliko mama mkwe fyatu hapo ukosee kidogo kwa mwanae, atajaza mtaa
Asante sanaNakuunga mkono 100000% umemaliza kaka na hiyo ndio point yangu
Mbona Mkoa wetu wa Mara watu wanatafutiwa wame na wake na wanadumu mpaka kifo.Hamtodumu
Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya?
Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
Vibaya mno, hasa Kwa kipindi hiki, labda zamani ila Kwa kipindi hiki ndiyo chanzo mwanamke kukudharau na kukuona boyaNdugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya?
Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
Kwa karne hii hapana na haifai kabisa. Huo utaratibu ulifaa sana nyakati za nyuma kidogo, kwa sasa haiwezekani kuchaguliwa mke.
Shida sio kupata demu, shida ni mke elewa mke
Wazazi huko Vijijini tabia wanazoangalia kutoka kwa Binti ni umalaya na uchawi,kama famili yao haina hayo mambo watakuambia anafaa but kuna mambo mengi kwenye uhusiano zaidi ya hayo.Hiyo sababu sioni kama inamashiko, kuomba kuchaguliwa ni kwa kuwa wazazi huwa wanajua mke mwenye tabia njema ninyupi so kwa tabia labda umbadilishe wewe ila wazazi hawawezi kukuletea mke mwenye tabia mbovu mtoto wao
Si kweli,wazazi wetu walitafutiwa mpaka leo wapo freshHamtodumu
Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya?
Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
Wazazi kukutafutia inakua noma sana miaka hii,wao wanalala saa 2 usiku,ilhali huyo watakaesema ana tabia njema,anatoka saa tano usiku,anarudishwa saa kumi kabla hawajaamka.Ni kipengele sana,tafuta mwenyewe.Ahsante kwa mchango wako,kumbe sionmbaya kijana ukaomba msaada jwa wazazi kukutafutia mke