Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
-
- #21
Treasonous hakuna kufungwa maisha, hukumu inasema anyongwe hadi kufa, hatutaki janjajanjaKunyongwa sio rahisi,labda afungwe kifungo cha maisha,
Kisha atakuja kupata msamaha.
Wakati nyerere anapambania uhuru wa nchi hii, unaamini ni asilimia ngapi ilikuwa inajua umuhimu wa Uhuru.Wanacho kosea wapinzani ni kuwapigania watanzania mbu mbu mbu.
Yaani ni sawa na kujidharau kabisa.
Unakuwa chambo kwa maji tu yanayo furaha simba na yanga.
Mimi nampongeza sana Mbowe, katumia common sense, na alikuwa anatumia common sense toka mwanzo
Kamwe usitumie logic mahala nguvu ya hisia haipo utaumia bila kupenda
Yupo tiyari acha kiwake, Lissu kama Iran
Kama alivyowapiga upofu mwaka jana kwenye MO29Kama ni mpango wa Mungu linaweza kutokea lolote.. Maana Mungu anaweza kuwqpiga upofu au kuwafanya mahakimu, na hao waliompatia kesi kuwa na mioyo Migumu kama alivyofanya kwa falao. Ili badaye awatandike vizu kwa mapigo yake.
In God we Trust
Lisu hanyongwi na kesi anashinda au nolle itakuwa applied.Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
Sure mkuu, Lissu akitaka wiki ijayo kutoka ni chap mpigie simu Samia, anipe hela ya kutosha nakaa kimya,anatoka, ila jamaa ameamua ku battle,,nadhani na Serikali inashangaza roho ngumu ya LissuWakati nyerere anapambania uhuru wa nchi hii, unaamini ni asilimia ngapi ilikuwa inajua umuhimu wa Uhuru.
Kwani watu wamewekwa kuwa pathfinders. Lisu, Nyerere and few elites wamefanya hivyo kwa kusudi la Mungu
Sijui sana kingereza ila kwa kua umeandika Neno CCM basi naamini umemaanisha CCM ipo karibu kuanguka.In an unlikely situation that your dream comes true then it will definitely be a turning point for Tanzania and it will be the beginning of a great civil insurgency in the country that will culminate in the fall of the ccm regime.
In simple terms, something close to the civil war will happen.
Uzuri ni kwamba Lisu hata wakati anaitangaza NRNELisu hanyongwi na kesi anashinda au nolle itakuwa applied.
Hakufa, tuliza kende, afu political tension ya 2017 na sahivi ni tofautiSasa kama alinusurika kuuawa kwa kupigwa risasi na mambo yakaendelea kama kawa. Na hakuna tukio kubwa kama hilo kwenye maisha binafsi ya Lisu na historia ya nchi yetu.
Sembuse hiyo kesi kuhukumiwa kunyongwa?
Hakuna kitakachotokea.
Labda Mungu awe anamaslahi yake kwenye maisha ya Lisu. Na anataka kusema nasi katika kesi na maisha yake
Selikali hawakudhani jamaa angekaza hivi, na hadi sasa harudi nyuma kamwe, sasa serikali iamue akutwe na hatia then ahukumiwe kunyongwaUzuri ni kwamba Lisu hata wakati anaitangaza NRNE
Hizi gharama zote alizifahamu, hivyo sio kwake tu, hata kwa wengine tunao mfahamu tunajua, kikombe amekubali kukinywa ikiwa ndio njia
We jamaa wa wapi?Wakati nyerere anapambania uhuru wa nchi hii, unaamini ni asilimia ngapi ilikuwa inajua umuhimu wa Uhuru.
Kwani watu wamewekwa kuwa pathfinders. Lisu, Nyerere and few elites wamefanya hivyo kwa kusudi la Mungu
Hakufa, tuliza kende, afu political tension ya 2017 na sahivi ni tofauti
Anajua Jehova,sisi tumeshindwa
Sasa kama alinusurika kuuawa kwa kupigwa risasi na mambo yakaendelea kama kawa. Na hakuna tukio kubwa kama hilo kwenye maisha binafsi ya Lisu na historia ya nchi yetu.
Sembuse hiyo kesi kuhukumiwa kunyongwa?
Hakuna kitakachotokea.
Labda Mungu awe anamaslahi yake kwenye maisha ya Lisu. Na anataka kusema nasi katika kesi na maisha yake
Kila nikiangalia viongozi wa Iran na LISSU wanafanana sanaa.....kupiga magoti Kwa mwanadamu huu sio msamiati waoYupo tiyari acha kiwake, Lissu kama Iran
Huyo wa kumnyonga mwenyewe yuko wapi? Kama alipigwa risasi 32 mchana wa saa saba, huku 16 kati ya hizo risasi 32 zikiingia mwilini mwake! Na bado hakufa!! Ndiyo atokee panya wa kumnyonga! Acha kutania watu mtoa mada.Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
Atapata msamaha wa Rais,kisha atapoteza sifa ya kugombea.Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
kama wangekuwepo watu katili wa kumshughulikia wakina Nasoro Katuga na familia zao wangeshafanya hivyo badala ya kusubiri hukumu uchwara itoke. Tanzania kuna uhaba wa watu wenye moyo wa kutenda matendo yasiyosahaulika.Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
wale ndugu zetu maelfu waliouawa mwaka jana hawakutosha kusababisha hiyo great civil insurgency in the country au hadi tusubiri hukumu uchwara ya kumnyonga Lisu ndio pawe na reaction ?In an unlikely situation that your dream comes true then it will definitely be a turning point for Tanzania and it will be the beginning of a great civil insurgency in the country that will culminate in the fall of the ccm regime.
In simple terms, something close to the civil war will happen.