Ndiyo hivyo DR.Siku hizi wadada wanasema hapendwi mtu inapendwa pesa.
Moja ya muonekano mtu kama anapesa ni kumiliki ndinga/mkoko.
Sizani kama umeacha mkuu, ninavyokujua unavyopenda kutawanya miguu ya watoto wa kike!Gari ni heshima kiukweli, yaani tangu nimeanza kumiliki gari mwaka jana mwishoni nimejikuta nikiwa katika hadhi tofauti kabisa, wale waliokuwa wananichukulia poa na kunidharau hasa wakina dada wakakutana na mimi wanajichekeshachekesha tu, sema umalaya nimeacha
Hahaha...Gari ni heshima kiukweli, yaani tangu nimeanza kumiliki gari mwaka jana mwishoni nimejikuta nikiwa katika hadhi tofauti kabisa, wale waliokuwa wananichukulia poa na kunidharau hasa wakina dada wakikutana na mimi wanajichekeshachekesha tu, sema umalaya nimeacha
Wengi hujirahisi sana hasa ukimiliki mkoko wa maana yaaani uwaweza tawanya miguu mpaka ukaumaliza mji kama huna roho ngumu.Ndiyo hivyo DR.
kila mtu anapenda vizuri bwana.
Huo uzuri unaenda na level tu. Kama hajawaexposed basi atapenda toyo.
Tuombe samahani wenye vitz tafadhali, kwani sio gari? Mkigombania daladala mi napita tu na vitz yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Maskini! Ukute gari lenyewe vits. Hongera sana.
Wanawake vitu vizuri ni kama sisi kwa wanawake wazuri.Wengi hujirahisi sana hasa ukimiliki mkoko wa maana yaaani uwaweza tawanya miguu mpaka ukaumaliza mji kama huna roho ngumu.
Mambo haya wanayafanya sana vijana mara nyingi hukodi magari wawapate watoto wazuri na wengi huwapata.
í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸me Nina baiskeri lakini nawabunya vizuri tu tena wake za watuUkiwa na Gari unakuwa sexy. ..
Maana hakuna namna! Na hatupangiwi cha kutafuna.Mademu wa Dar bana wana maigizo balaa hahahaha acha tuwatafune tu...
Hahaha, mkuu hii hali ya kushobokewa ingenikuta kwenye ubora wangu ningekuwa nagonga kilasiku demu mpya, sahivi nimetulia baada ya kuoaSizani kama umeacha mkuu, ninavyokujua unavyopenda kutawanya miguu ya watoto wa kike!
Mkuu sema labda umepumzika tu kwa sababu ya mfungo.
Hahahahaha ukienda wewe unaonekana kilaza, masikini huna mbele wala nyuma daaaah hawa madada bhna TUWASAMEHE TUkuna jamaa kitaaa anagari hata halieleweiki ila anawaburuza km samatta
unaweza usipate hata mmoja mkuuWachache sana katika 20 unapata mmoja tu.
Mkuu kitaa hawajali unagari gani, hata vitz unawagonga sana tu ukiamua, sema jinsi gari linavyokuwa kali ndio utaweza kushobokewa na watoto wakali zaidi. Mimi gari yangu ni ya hadhi ya kawaida tu but kitaa totoz shobo kibao, nafikiria ningekuwa na range-rover kwa umri wangu huu wa ujana ingekuwaje kama kigari changu cha kawaida tu kinawatoa udendaHahaha...
Mkuu gari ni nyoko. Mwenyewe kuna magari ukiwa nayo kwenye foleni unatamani liwe lako sembuse watoto wa kike.
Unakuta mtu yupo ndani ya discovery 5 mpyaaa.
sio wa dar tu mkuu hata wa mikoani pia wakiona jamaa ana gari wanaogopa hata kushoboka na ukigusa tu misimu kila muda "oooh Mara baby umekula, sijui uko wapi mume wangu"Mademu wa Dar bana wana maigizo balaa hahahaha acha tuwatafune tu...
yaan wwWanawake vitu vizuri ni kama sisi kwa wanawake wazuri.
Mkuu kitaa hawajali unagari gani, hata vitz unawagonga sana tu ukiamua, sema jinsi gari linavyokuwa kali ndio utaweza kushobokewa na watoto wakali zaidi. Mimi gari yangu ni ya hadhi ya kawaida tu but kitaa totoz shobo kibao, nafikiria ningekuwa na range-rover kwa umri wangu huu wa ujana ingekuwaje kama kigari changu cha kawaida tu kinawatoa udenda