Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Acha tu akina DAB hawa wanachukua tu bmw za watu. Na hata hvy nikisikia tu fununu kuwa Dab anamtaka najiondoa mapema maana huchelewi jina kulikuta kwenye list ya madawa
HAHA MKUU NAAMINI UNAMZUNGUMZIA DAB KILAZA ILA SIO MIMI.
 
Issue za Gari zilikuwa Zamani siyo sasa.Sasa hivi ukiwa vizuri mfukoni ndiyo mpango mzima.Mnakodi gari mnaenda kuenjoy huko kwenye mbuga za wanyama.Mnakwea pipa mnaenda kula upepo visiwa vya Comoro.Mnakwea pipa kwenda shopping J'burg."That is what they want these days.C'est bon mon ami?
 
Umenifanya nicheke. Ila huwa wanawake tunatia aibu sana ndio mana walio wengi wanakosa mahusiano ya kudumu.
Acha uchochezi wewe kwani wasio na magari wanadumu?kuumizana kupo tu wala sio kwa sababu ya gari
 
Mkuu ushamba wa gari bongo bado sana kuisha, ushamba wa tv ndio umefanikiwa kuisha, ukiwa na gari hata la mkopo unaonekana una hela kuliko mtu mwenye hela halafu hana gari. Ukiwa na hela halafu unasugua bomba kwenye daladala unaonekana ndo 'walewale'. Kama unahela nunua gari uheshimiwe
 
Mwanaume sio ule mwili wake sijui mkono makalio kichwa nywele miguu na Bega. Ila ni pamoja na hadi anapolala vyeti vyake nguo zake na vingine vyote.

Na tunapowatongoza tunakuja kama wanaume na hatuleti miili tu.
Umesema kweli lakini cha ajabu hawa wala hawapo huko sijui wapojeee
 
Acha tu akina DAB hawa wanachukua tu bmw za watu. Na hata hvy nikisikia tu fununu kuwa Dab anamtaka najiondoa mapema maana huchelewi jina kulikuta kwenye list ya madawa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…