Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Ni kweli screpa.Tuna safari ndefu sana.GARI ni LIABILITY(kama deni vile).Nyumba ni bonge la asset(Kitega uchumi?).Lakini wadau wanasema nyumba huwezi kwenda nayo bar,nyumba haipigi honi nk Wanataka kitu ambacho watakuona nacho mtaani.Kwa vijana mnaochipukia milikini nyumba kwanza badala ya magari
mkuu hawatakuelewa ujue
 
Tena mm ananiganda mke wa mtu utadhani mm wake MJINGA kweli HUYU dada
 
Wadada wa mjini wengi wanapenda mtelemko tu na hawako real full drama....gari ni kitu cha kawaida mnoo



sema wanawake generally,,,kuna mmama mtu mzima alinipa penzi hivihivi kisa tuu gari,,nilifaidi sana ,,saiv kahama basi namisss mambo yake
 
Back
Top Bottom