Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Inategemea na gari yenyewe ukiwa na li Rand rover kama la nyadikwa unadhani watakuja![emoji52]
 
sema wanawake generally,,,kuna mmama mtu mzima alinipa penzi hivihivi kisa tuu gari,,nilifaidi sana ,,saiv kahama basi namisss mambo yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hupajui alipohamia?

Kila mtu atajibebea msalaba wake
 
si umuache tu mwambie humtaki

amwachaje sasa??kupewa penzi ivi ivi ilivo ngumu unaanzaje kukataa gegedo la bure??hya yote yanasababishwa na nyie wanawake,,ukiwa unamtosheleza mtu wako sio rahisi kuchepuka,,mtu unaomba uchi mwaka mzima hupati kisa huna hela....unafikiri nikiwa na hela nitaacha kua zoazoa??lazima nilipize na lazima nionje kila type,,,,,,,,,,,,,,,,mbaaaf
 
Kila nikimwambia wife nataka kununua gari ni ugomvi hataki kusikia kabsaa anasema nkiwa na gari nitakua malaya maana anakumbuka enzi izo cjamuweka ndani nlkua naenda kwao na gari ya bro
 
amwachaje sasa??kupewa penzi ivi ivi ilivo ngumu unaanzaje kukataa gegedo la bure??hya yote yanasababishwa na nyie wanawake,,ukiwa unamtosheleza mtu wako sio rahisi kuchepuka,,mtu unaomba uchi mwaka mzima hupati kisa huna hela....unafikiri nikiwa na hela nitaacha kua zoazoa??lazima nilipize na lazima nionje kila type,,,,,,,,,,,,,,,,mbaaaf
sio wote bwana hao hao wanaoshoboka na magari ya watu
 
Back
Top Bottom