Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

sio wote bwana hao hao wanaoshoboka na magari ya watu


yaan mtu utumia bando kupiga misimu kila saa,,mara ununue mafuta ya gari,dinner,vinywaji na ulipie hotel ndo dem anakuona unamridhisha,kwa stahili hii hamtaolewa,,ukiwa maskini hugegedi,,sasa acha tuzisake
 
Back
Top Bottom