Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

tunapimaga,,,,siwezi vaa nailon mm..laza ntaipaje,,,,,joto lake ni extra ordinary na anapnda show nefu za kibabe,,na yeye anapena uji wangu pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah! Mkuu kuwa makini aisee
 
Ni kweli screpa.Tuna safari ndefu sana.GARI ni LIABILITY(kama deni vile).Nyumba ni bonge la asset(Kitega uchumi?).Lakini wadau wanasema nyumba huwezi kwenda nayo bar,nyumba haipigi honi nk Wanataka kitu ambacho watakuona nacho mtaani.Kwa vijana mnaochipukia milikini nyumba kwanza badala ya magari
Cha muhimu ni kuwa na chanzo cha kipato. Ukiwa na uhakika wa kipato kuanza na nyumba au gari ni uamuzi wa mtu. Watanzania wengi wanajenga nyumba taratibu,nyumba inachukua hadi miaka mitano kwisha. Sasa miaka yote mitano hii uteseke na usafiri wa bongo kisa nyumba?

Kama una visenti nunua usafiri then anza kujenga taratibu, tuache uoga wa maisha.
 
Issue za Gari zilikuwa Zamani siyo sasa.Sasa hivi ukiwa vizuri mfukoni ndiyo mpango mzima.Mnakodi gari mnaenda kuenjoy huko kwenye mbuga za wanyama.Mnakwea pipa mnaenda kula upepo visiwa vya Comoro.Mnakwea pipa kwenda shopping J'burg."That is what they want these days.C'est bon mon ami?
Sawa sawa. Muhimu uhakika wa kipato. Kuna mwanamuziki Craig David aliwahi kuulizwa amenunua gari gani baada ya ku hit, akasema sina gari ila nafurahi sana nikipita showroom ya ferrari nikijua nina uwezo wa kununua zote walizozipanga.
 
Back
Top Bottom