i ll be faithful if he will be working apart from that he must read the namberHapo dadangu nilikuwa natoa ishauri kwenye post nyingine tofauti kidogo ambayo ilifanana kama ugumba ndio maana nikamwambia aliyepost atoe maelezo yaliyojitisheleza. Hata hivyo kuchepuka hakufai. Be thou faithful unto death!
Chuga cjaona bint mla mxoc sana nina mwaka wa kumi hapa, acha kumtishia msela bhanaTeh ntakuja ila ujipange mana ninafukia msosi mbaya
Wasiwasi ndiyo akili yenyewe test before using my dearkuna dalili zote za kupatikana hapa na wala si kupata
Mimi niliweza na nimefunga ndoa 2012, sio kwamba nilikuwa sijawahi nilisha gegedana sana ila nilipoona wanaume waongo, nikasema atakae nigegeda tena atakuwa mme wangu ikawa hivyo, sasa nilikuta nwanaume ana govi hajatahiriwa , mlokole hadi kufanya tendo la ndoa kwake dhambi, ni mara mojamoja sana . halafu ni kama anamapungufu katika ufahamu wake
We kweli una roho ngumu! Keep it up. Kwa hiyo inakubidi kubana pua mnapoitumia ndoa eh?Nimemwambia akafanye suna maana govi loh lina harufu hiyo kali hadi machozi yanatoka, na amekataa anasema mbona kuna wachungaji wako hivo, kwahiyo hatoi hiyo nyama mungu atakuuliza uliipekeka wapi
Aisee! Kuna watu humu! Muyamalize kiutu uzima ndiyo kumfanyeje? Unataka kuchukua nafasi ya aliyeshindwa? Na utafanya hivyo kila siku hadi lini? Au ndiyo unataka kukamata fursa kisha upeperuke! Hapo atakuwa karuka maji kukanyaga mkojo!Kma Amekuja Na "Single" Ingne Ya Tungoje Mpka Ndoa, Subili Hiyo Single Ichuje Aje Na Mpyaa!!! aahaaa!!! Sikia Siku Mkiwa Farangha, Mfanyie Michezo Ya Kimahaba Bila Kusubil Ruhusa Yake Hakikisha Unampa Michezo Ya Hatari..Kma Ni Mzima Au Mbovu Itajulikana Acha Kuhisi Hisi Mfanyie Michezo Ya Kimahaba Haswa....Dushe Lake Likigoma Angalau Hata "Kushtuka" Basi Rud Hapa Uje Pm Kwangu Tuyamalize Ya Kiutu Uzima!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
penzi la dhati etchahaha! asante, vitu gani labda?
nikiongeza nitaku overdose! am playing your level, kiddo!Hapo ndipo ulipoishia kufikilia?
Siku nyingine uzingatie matumizi sahihi ya "R" na "L"Hapo ndipo ulipoishia kufikilia?
Tumia kiswahili wewe, lugha za watu zitakuvua nguo!hahahahahaha! bilashaka upo ktk furish age
Hata ulipokuja kuomba ushauri hapa JF, ulijua utapata darasa!kwan ulisikia tupo kwenye darasa la lugha?
Okay, nikirudi kwenye mada ni kwamba, you are not beautiful enough to make your man's dickhead to feel so aroused!kama vpi potezea..na rudi kwenye mada