Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Monicaa monicaaaaa. ..... UMENIANGUSHAA....umeshindwa hata ichezea dudu.

pima pimaaa... ni muhimu.
 
Daaah natamani ningekuwa Mimi,,,,mbona mimi sipatagi hayo mafuba,,,tena huna hats shida ya elaa,,,haya bwana siku zote maji ya kuzalishia umeme ndo wanaish chura
 
Monicaa monicaaaaa. ..... UMENIANGUSHAA....umeshindwa hata ichezea dudu.

pima pimaaa... ni muhimu.
hahahaha! nimekukuruka nimeshindwa jamaa hata kugusana hataki...yaani ni mita mia.
 
Very changamoto but dear through Christ everything is possible.. Amen.. Thanks..
Are u married!!?? if Yes.. did u wait, If not ...r u not f*kn someone. ??!! em tuweke unafik pembeni tumshauri kibinadam huyu Moniica.
 
asante kwa ushauri
 
Are u married!!?? if Yes.. did u wait, If not ...r u not f*kn someone. ??!! em tuweke unafik pembeni tumshauri kibinadam huyu Moniica.
Excuse me watch your language .. You got problem with me?? Are you here for Monica or for me ?? This called freedom of the speech , you advice what you see is right according our perceptive .. Watch your mouth boy or whoever the heck you are, kama you got stress , go take it to somewhere else but not to me ... Nonsense.. You didn't see all comments but you saw mine only .. Was I the first one to advice her that way, was I ?? Nonsense.. I beg take your stress somewhere else not here ... Unataka kumshauri kibinadamu as you wanted then do it.. Its better than to come here with your dirty words/ mouth or to want to know other people's status / business.. And if I am not married will you want to marry me?? Before you asked you should think ... Stop asking other people personal things / business if they didnt ask yours .. And do me a favor next time if you quote me, make sure you have your own respect first .. Because the last time I checked I didnt disrespect you.. Nonsense.. Thanks...
 
Napinga hilo na haifai kumwita ana pepo la uzinzi! Kuna tukio moja nililishughulikia lililonishawishi pengine ni salama vijana kukutana angalau mara moja kabla ya ndoa kujiridhisha kila mmoja yupo sawa.
Ilikuwa hivi; Binti alikutana na kijana tangu akiwa kidato cha pili na kujikuta wakiwa wachumba. Kijana alimshawishi mwenzie akajitambulishe rasmi kama mchumba kwa ahadi wataoana pindi Binti atakapomaliza shule. Wazazi walimkubalia kijana na kijana alikuwa akimimina zawadi nzito nzito kwa Binti na wazazi, na ilifika wakati walikuwa wakiruhusiwa kutoka wote na kusafiri hadi Arusha, Tanga na Mwanza. Binti anasema kila walipofanya romance na Binti kupandisha mzuka kijana alimsihi atulie kwani ipo siku atachoka mwenyewe.
Alopofaulu kwenda F5 Binti alikuwa anataka kuacha kuendelea na masomo ili aolewe kwanza lakini kijana alimsisitizia amalizie kidato cha sita na hata shahada kwani hakuwa na haraka. Alimnunulia Baba mkwe gari pick up kama zawadi kwa Binti kufanya vizuri kimasomo.
Uhusiano sasa ulikuwa karibu zaidi Binti akienda kukaa kwa mchumbawe hadi wiki nzima au zaidi lakini kila alipombembeleza mwenzie wafanye alikataa katakata akidai wakifanya watachokana na anaweza badili mawazo! Binti alilipeleka shauri kwa mama na kukaripiwa vikali kwamba yule ndiye mchumba sahihi maana hataki kumchezea!
Matokeo ya kidato cha sita hayakuwa mazuri sana kwa hiyo ilibidi waoane licha ya kijana kupiga kifua angemsomesha kwa gharama. Binti alikataa katakata kwa hiyo ilibidi ndoa ifungwe.
Kijana alianza kuonyesha mambo yamemshinda kuanzia wakiwa kwenye honeymoon, ambapo aliendelea kusisitiza eti kule ni sehemu ya kufanya tafakari ya maisha yao kiroho!
Kuona hivyo Binti alidai warudi nyumbani na mambo yalikuwa kama siku zote, kijana akihangaika na kumwingiza madole na kumyonya ulimi bila ya tendo. Binti alivumilia hadi mwaka ambapo mwaka wa pili alipata mchepuko na kuhakikisha anapata mimba potelea mbali litakalotokea, ajabu kijana alifurahi sana kwa mkewe kupata mimba, akaita marafiki na kufanya kijisherehe! Mtoto alizaliwa akifanana sana na mama na kijana aliwapenda mno mtoto na mama. Mtoto alipofika miaka mitatu mama alihitaji mtoto tena, alimhimiza mwenzie akatibiwe na haikupita nafuu licha ya kwenda hadi India! Mama atapata mimba ya mchepuko mwingine ambao kijana alikubali kama kwanza. Mtoto wa pili alipofika miaka mitatu mama aliamua kuweka mambo hadharani ambapo baada ya mvutano mkali kanisa liliibatilisha ndoa na kuitengua lakini kijana alibaki na watoto wake!
 
Duuuh! hii nayo kali sijawahi kusikia popote zaidi ya jf
 
Ila ni kama una kapoint moniccca coz kuna mdada aliwahi kuingizwa kingi hivi hivi, jamaa alimpenda akiwa A'level akamsomesha chuo lkn jamaa alimwambia no sex till siku ya ndoa, mdada alifurahi sana kupata mwanaume mwenye msimamo km huyo kwa sababu wengi wao huwa wanaomba mchezo mapemaa.....lakini baada ya ndoa sasa ndio bidada kuja kugundua jamaa jogoo hawiki.
 
Acha stori za kutunga wewe.. Hii haiwezi kutokea kamwe labda wewe ndo ulimtongoza huyo jamaa.. Hivi ni mwanamme gani ataikataa mbunye wewe?? Lbda hakupendi kabisa na hana dreams zozote na wewe. Au maybe ana matatizo ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…