Dickson mwaipopo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 481
- 455
hata ukipewa huyo mara moja lazma utake tena, chezea utamu kolea wewe!!Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata ukipewa huyo mara moja lazma utake tena, chezea utamu kolea wewe!!Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
kwan kuna mahali nilisema ndoa tayari? by the way niomba ushauri kama unaona unadanganywa si lazma upoteze muda wakoKwanza sitaki kuhukumu kwamba unatudanganya!!!!!... ila nahisi kuna kitu kinajichanganya hapa...
Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu
Are u married!!?? if Yes.. did u wait, If not ...r u not f*kn someone. ??!! em tuweke unafik pembeni tumshauri kibinadam huyu Moniica.Very changamoto but dear through Christ everything is possible.. Amen.. Thanks..
Mmnnhh!!! Hapo kuna tatizo. si kawaida.hahahaha! nimekukuruka nimeshindwa jamaa hata kugusana hataki...yaani ni mita mia.
Kama hujazaliwa mara ya pili ni ngumu.. Huwezi kuvumilia, mpokee Yesu atakufanikishakumbe inawezekana..thank you kwa uzoefu
hata ukipewa huyo mara moja lazma utake tena, chezea utamu kolea wewe!!
Hakuna kitu kama kuaminiana bila Mungu ndani yenu. Hakuna. Wewe hope moyo huku mashine inasagwa. Wewe huna matamanio?kumbe inawezekana..thank you kwa uzoefu
asante kwa ushauriInawezekana kama ni mlokole wa kweli,ila kama ni mtu tu wa kawaida bac atakuw anakuheshimu na anampango kweli wa kukuoa lakin anachepuka. Nimependa kwasababu ww si mnafik wala pretender kama wengine. Pia muombe Mungu kama unahisi hamu inataka kukuzid spidi epuka kuwa na mwanaume maeneo ya faragha zaid kumbuka Bible"ikimbie zinaa.." maana haipingiki, inakimbiwa
Excuse me watch your language .. You got problem with me?? Are you here for Monica or for me ?? This called freedom of the speech , you advice what you see is right according our perceptive .. Watch your mouth boy or whoever the heck you are, kama you got stress , go take it to somewhere else but not to me ... Nonsense.. You didn't see all comments but you saw mine only .. Was I the first one to advice her that way, was I ?? Nonsense.. I beg take your stress somewhere else not here ... Unataka kumshauri kibinadamu as you wanted then do it.. Its better than to come here with your dirty words/ mouth or to want to know other people's status / business.. And if I am not married will you want to marry me?? Before you asked you should think ... Stop asking other people personal things / business if they didnt ask yours .. And do me a favor next time if you quote me, make sure you have your own respect first .. Because the last time I checked I didnt disrespect you.. Nonsense.. Thanks...Are u married!!?? if Yes.. did u wait, If not ...r u not f*kn someone. ??!! em tuweke unafik pembeni tumshauri kibinadam huyu Moniica.
Napinga hilo na haifai kumwita ana pepo la uzinzi! Kuna tukio moja nililishughulikia lililonishawishi pengine ni salama vijana kukutana angalau mara moja kabla ya ndoa kujiridhisha kila mmoja yupo sawa.Lazima una pepo la uzinzi. Kaombewe
Huyo anakupenda kwa dhati. Hataki akuchezee.
Ukimpa anaweza asikuoe haraka kwa sababu papuchi anaipata, tena kwa kungángánizwa
Aidha, anaogopa usijembambikia mimba isiyo yake kabla ya kufunga ndoa. hamkawii nyie.
Hivi akikugegeda then akakuacha, utakuwa umeonja migegedo mingapi kabla ya kuja kuolewa?
If you are not a virgin, try to have a secondary virginity.
Acha stori za kutunga wewe.. Hii haiwezi kutokea kamwe labda wewe ndo ulimtongoza huyo jamaa.. Hivi ni mwanamme gani ataikataa mbunye wewe?? Lbda hakupendi kabisa na hana dreams zozote na wewe. Au maybe ana matatizo ya kiumewadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?
Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.