Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

natamani niwe na mke kama wewe jamani,yaan mwanamke anadai dudu mwenyewe bila kuhongwa ni mtamu sana jmn....kama vp njoo pm
 
Ww sio msichana. Nina wasi wasi na jinsia yako. Hakuna msichana asiyeweza jizuia. Kwa mwanaume ningeelewa ila sio ww
 

Maisha magumu sana haya! Kitu ambacho kinaweza kikawa proven logically kwa procedure rahisi tu unahitaji ufunge na kuomba kiwe revealed kwako kwa namna nyingine?! Interesting....
 
it might be.
..thank you
 
Sawa ni dhambi kabla ya ndoa,ila kwa dunia ya kileo mwanaume asipoomba Kuna a vereee big problem
Komaa nae ulale kwake oga then jitupie kitandani kama ulivozaliwa
Akishindwa bas karogwa au ndo vile tena bora umejua mapemaa uchape lapa
 
Kama ni Mkristo unajua naongea nini.
Mwombe Mungu atakuonyesha
Umeonja na utawaonja wangapi?
Hivi unajisikiaje uko kanisani kila ukiangaza jicho huku unamkuta EX wako?
Unapiga moyo konde maisha yanaendelea,muwage na maamuzi acheni kuendeshwa na miili
 
Huna mwanaume hapo usikute chupa haina kitu ila imefunikwa na kisoda....
 
tatizo jamaa nampenda sana.siwezi mcheat
Mkuu na kama ukithibitisha kweli jogoo hapandi mtungi utaendelea kuwa nae maana unampenda na hutaki kumcheat? Hembu vuta picha za kumbu kumbu kuwa je hujawahi penda mwingine na sasa imebaki story?
 
Maisha magumu sana haya! Kitu ambacho kinaweza kikawa proven logically kwa procedure rahisi tu unahitaji ufunge na kuomba kiwe revealed kwako kwa namna nyingine?! Interesting....
Dear but to her situation she cant use logically mind .. To know if you have the right mke/ mume mtarajiwa you cant guess and you cant use your logically mind.... God has to intervene on her behalf .. Otherwise atakuja na thread nyingine after wedding.. She has a chance to do things right now .. Kama ni wake na hammna shida basi Mungu ataampa ukweli tuu.. Thanks..
 
Kma Amekuja Na "Single" Ingne Ya Tungoje Mpka Ndoa, Subili Hiyo Single Ichuje Aje Na Mpyaa!!! aahaaa!!! Sikia Siku Mkiwa Farangha, Mfanyie Michezo Ya Kimahaba Bila Kusubil Ruhusa Yake Hakikisha Unampa Michezo Ya Hatari..Kma Ni Mzima Au Mbovu Itajulikana Acha Kuhisi Hisi Mfanyie Michezo Ya Kimahaba Haswa....Dushe Lake Likigoma Angalau Hata "Kushtuka" Basi Rud Hapa Uje Pm Kwangu Tuyamalize Ya Kiutu Uzima!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…