Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Well, your concerns are justifiable.
Zamani Ilikuwa rahisi kutohofia hayo mambo kwa sababu baadhi ya tamaduni zilikuwa zinajiridhisha juu ya afya ya via vya uzazi vya mwanamke na mwanamke Kabla ya ndoa. Kwa kipindi hiki hali ni tofauti, niliwahi kushihudia ndoa ikivunjika after seven days kwa kuwa jamaa alikuwa na Erectile disorder. Hii Ilikuwa precedent kuwa kila anayetaka kuoa basi lazima tujiridhishe kuwa Ana uwezo wa kutimiza majukumu yake katika ndoa.
Kwa nini huwa wanauliza Kama Una elimu kiasi gani? Una kazi? Urefu wako? Familia yako?
Nadhani inabidi waulize na kujitidhisha Kama mwanamke au mwanaume ana uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kukidhi hitaji hilo kwa mwingine.
Wengine wanaoa kama cover-ups kwa Jamii kwamba naye alioa.
Find a way kujua hali yake ya kwenye hilo eneo.
Unapotaka kuingia kwenye ndoa una haki ya kupata majibu yote kutoka kwa mtarajiwa wako.
 
Swala lilipaswa kuwa nawezaje kujua uwezo na hali ya urijari wa mchumba wangu?!
Uwezekano upo na ndivyo inavyopaswa kuwa.
Sasa acha nijibu kama ambavyo umeuliza ....

Well, your concerns are justifiable.
Zamani Ilikuwa rahisi kutohofia hayo mambo kwa sababu baadhi ya tamaduni zilikuwa zinajiridhisha juu ya afya ya via vya uzazi vya mwanamke na mwanamke Kabla ya ndoa. Kwa kipindi hiki hali ni tofauti, niliwahi kushihudia ndoa ikivunjika after seven days kwa kuwa jamaa alikuwa na Erectile disorder. Hii Ilikuwa precedent kuwa kila anayetaka kuoa basi lazima tujiridhishe kuwa Ana uwezo wa kutimiza majukumu yake katika ndoa.
Kwa nini huwa wanauliza Kama Una elimu kiasi gani? Una kazi? Urefu wako? Familia yako?
Nadhani inabidi waulize na kujitidhisha Kama mwanamke au mwanaume ana uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kukidhi hitaji hilo kwa mwingine.
Wengine wanaoa kama cover-ups kwa Jamii kwamba naye alioa.
Tafuta namna ya kujua hali yake ya kwenye hilo eneo.
Unapotaka kuingia kwenye ndoa una haki ya kupata majibu yote kutoka kwa mtarajiwa wako.
Ila kupata hayo majibu si lazima mfanye uzinzi, kuna vipimo vya kitaalamu kabisa ambavyo vitakupa majibu. Ila yote haya yafanyike kwa nia njema Na Safi.
Nikutakie kila kheri wewe na mtarajiwa wako.
 
Yani wee ndo umeruga mada kabisa.
 
Razzmatazz!!

Huyo ni boonge la hubby, atakua msabato huyo nahisi. Huenda hamuendanu na ni vyema mkaachana tu. Huku makanisani ndio inasisitizwa hivyo, vumilia tu fanya zoezi na usiwaze ngono.

Mungu hawez kukupa galasa ikiwa unamtegemea kweli.
 
Inawezekana sana tu,ila angelia usije kupata koroma uwe unaichungulia
 
mh Kama hii story bas inashangaza sana
 
Asante kwa maelezo yako mkuu.
Anaposema shida yake ni dushe maana yake nini kama sio pepo?
Anyways, Huo ni mtazamo wa kibinadamu.
Je, kisa hicho kinahalalisha kuwa kufanya mapenzi kabla ya ndoa sio dhambi?
Kuna watu hawajaonjana na wamekuwa na amani katika ndoa zao. Je, hatuwezi tumia mifano hiyo kujizuia kuzini?
Tatizo letu hatumshirikishi Mungu kwa kila jambo. Huwa tunamkumbuka mambo yakitushinda.
 
mambo yamebadilika sana. malalamiko kama haya tulizoea kuyasikia kwa wanaume.
...shkamoo wadada wa siku hizi...mkiongozwa na Monicca!!
 
Monica aliandika hivi kwenye link hii: Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu

Habari zenu wanajamvi,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.

Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati na taratibu za harusi na my Mr. Right ambaye nilimpata kupitia tangazo langu la mwezi Jan.2016,
binasi sikutarajia kama mambo yatakwenda kwa speed kubwa namna hii lakini ndivyo ilivyokuwa.

Taratibu zote zimekamilika na Jana tu ndo mahari yote imelipwa, kweli nina furaha na amani sana kwa hatua niliyofikia, namshukuru mchumba wangu kwa seriousness alionionesha.

Wandugu tarehe ya harusi imepangwa na Jumapili ya tarehe 6 march 2016 tangazo la kwanza la harusi yangu litatangazwa.

Tarehe ya harusi imeshapangwa na vikao vinaanza kesho, naomba tarehe nisiiweke wazi kwanza, nitaiweka wazi siku tatu kabla ya harusi. Asanteni
sana.

Wewe ambaye umetupia tangazo lako amini tu utampata unae mtaka.Usichoke wala kukata tamaa.
 
Usipate tabu mrembo. Tafuta mchepuko wakati ambao jamaa ana endelea kusubiri ndoa. Akishakuwa tayari mtaendelea.
 
Asilimia 98% wanafunga ndoa wakiwa wamesha fanya tendo la ndoa
1% wanafunga ndoa hawaja fanya na zinadumu hizo ndoa.
1% wanafunga ndoa hawaja fanya na zinavunjika kabla kabisa kabisa kabla ya miaka mitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…