Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

ndiyo maana siugawi hovyo zaid ya kumtaka yeye
 
pole
 
acha kufikiri kwa kutumia uchi wewe!
 
we jaribu mchezee yani mtie nyege mpka to the maximum na hyo iwe ni bila yeye kutarajia, ikishndkana hapo bs ujue jamaa "hapigi mechi"
 
mchecheto kwa bahati nzuri sihitaji kila mwanaume..huyu ni kwasababu ninafuture nae ndio maana nataka kujua ulijali wake kabla ya ndoa..vingenevyo singetaka kusex nae.
Mbona mapanga3 unajibu as if wewe ndo mwenye thread?
siyovyema na wala sijamtuma mtu ajibu kwa niaba yangu.
Nikuulize lengo lako ni nini?
Au huna tabia ya ustaarabu SIJAPENDA, NA NAOMBA MODS MSIRUHUSU MTU KUINGILIA THREADS ZA WENGINE this is not fair real..sijapenda nisaidiwe kumuadhibu kwa hili.
 
Narudie MAPANGA3 amepata wapi haki ya kujibu thread yangu as if yeye ndiyo mimi? Wahusika wa jf naomba huyu ndugu achuliwe hatua ya wazi na mim nione..sijapenda kabsa.
 
Kwanza kumbuka uzinzi ni dhambi, na kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni uzinzi!!! Dada epuka uzinzi ili udumu katika mahusiano mema!
Mchumba anayekushauri mema anafaa zaidi kuliko huyo anayekushawishi kutenda dhambi ya uzinzi.
Kutofanya zinaa kabla ya ndoa huongeza uaminifu na upendo katika ndoa. Uzinzi kabla ya ndoa huondoa uaminifu kwa kila mwana ndoa na ndio chanzo kikuu cha kuvunjika kwa ndoa. Baada ya uzinzi shetani huanza kuwafuata na kuwahukumu kwa yaliyopita. Hata kama mtakuwa mmesimama vyema na Mungu wenu bado hamtaweza kudumisha ule upendo nanuaminifu kama ule kama mngeanza kwa uaminifu.
Kuhusu swala la kuuziwa mbuzi kwenye gunia; hayo ni mawazo ya walioshindwa, ukishindwa kuongozwa na Mungu kila wazo utakalowaza litakuwa la kipumbavu tu! Mawazo hayo ni ya kitoto, hakuna mwanamume anayeweza kuamua kuoa huku akiwa si mzima. Huyo mchumba wako anakupenda ndio maana anakushauri lililo jema. Je kama ikitokea umemwonja na akakuona kuwa wewe humfai na akaamua kukuacha utafurahi?
Ndoa bila uzinzi inawezekana na inafaa sana kwa maisha bora yenye furaha na uaminifu tele. Mungu akubariki na akuponye.
 
Hamna haja ya kungwi hapa.mkuu wengine sio kabisa wanasingizia kuabstain kumbe wanafichaa madhaifu yao. Ufike huko kwenye ndoa kumbe dushe lenyewe hali function utafanyaje?
 
Dear I am still the same never change but naomba for this message uniache tuu please... Thanks..
Usijali nakuacha mkuu lakini malaika hawezi kugeuka shetani kwa kufuata amri za shetani, bali husimama kwa misingi aliyonayo bila kutetereka
 
Hii ni kama hadithi! Matokeo haya ni nadra sana kutokea. Hujaeleza kama tatizo la mwanamume lilikuwa hawezi kuzaa au hawezi kushiriki tendo la ndoa? Kama hawezi tendo la ndoa ilikuwaje wakakaa muda wote huo? Yawezekana vilevile mtu akaweza kumudu vyema tendo la ndoa lakini asiweze kumtia mimba mwanamke!
Kwa hali hiyo hata mtajaribisha kabla ya ndoa hamtagundua hayo ya ugumba mpaka mtakapokaa kwa muda.
Kikubwa ni kumwomba Mungu na kuwa waaminifu wa kweli. Upendo huvumilia yote!
 
Usichanganye mada issue hapa ni uwezo wa tendo na si ugumba..la ugumba dogo sana nikioni sipati mimba nachepuka kdgo nikirud kitu tayari nambambika safari inaendelea.
 
Usichanganye mada issue hapa ni uwezo wa tendo na si ugumba..la ugumba dogo sana nikioni sipati mimba nachepuka kdgo nikirud kitu tayari nambambika safari inaendelea.
Hapo dadangu nilikuwa natoa ishauri kwenye post nyingine tofauti kidogo ambayo ilifanana kama ugumba ndio maana nikamwambia aliyepost atoe maelezo yaliyojitisheleza. Hata hivyo kuchepuka hakufai. Be thou faithful unto death!
 
Kama unampenda subiri hadi mfunge ndoa maana ukimkuta anakasoro hata ndogo utamuacha lkn ukiwa umeoa huwezi kumwacha
 
Tatizo vijana wa siku hizi hata maana ya uchumba mnaambatanisha na mila sijui mira kwa kweli kama we ni mtu unayetaka kufanya ngono kabla ya ndoa nakuhakikishia hutaifurahia ndoa yako na pia huwi tofauti na wale waliokutana na kutoroshana majumbani kwenda kuanza maisha mtafunga ndoa lakini hamtakuwa na ujasiri wa kuwaeleza vijana wenu wa baadae ukweli kuhusu maisha ya ujana amua mwenyewe njia ni mbili tu mshawishi mfanye alafu ujionee mwenyewe au usubiri mfunge ndoa pia uchumba wa muda mlefu mpaka mwaka au miaka ni uchumba hatarishi kuwa makini sana dada sijui kaka dah!.........…?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…