Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Kipofu anapoona Mwezi.
 
Hata wajinga huzeeka pia. Kwa hiyo sio kila mzee ana busara.

Kwa hiyo AL Hilal alipigwa 4 kwa 1 na Simba kwa Mkapa unahitimisha Yanga wametoa droo na underdog kwa vile Yanga alomfunga Simba aliyemfunga Al Hilal.

Subiri kichapo Sudan na mtajifariji sana.
 
Ooh Al Hilal ni timu inayojitafuta sisi tupo vizuri na tutampiga kama ngoma, sasa hivi mnatafuta pakuhemea.

Mlivyowapiga wale wawekezaji wa Kalynda Zalan FC, basi mkajiona mataita subirini hapo Sudan mkanuswe kinyeo vizuri
Mkuu....unadhani Simba mngeweza kufunga hio timu...
 
Cheki kenge huyu
 
Mkuu....unadhani Simba mngeweza kufunga hio timu...
Tulipigwa goli moja pale kwao mechi ya kirafiki. Namba sita alikua Peter Banda na Golini alikua kipa namba 3, wachezaji tisa wapo timu ya Taifa. Na uwanjani walikua wamejaa wao tu ila game haikutuelemea kama iliyokua kwenu.

Mara ya mwisho tulipocheza nao tukiwa kamili walikufa 4-1 kwa Mkapa
 
Una dalili zote za kuwa kigagula hapo mtaani.
 
Wamepiga bomu chooni mkuu ndio maana harufu imefika mpaka jangwani. Btw hongereni sana aisee mlipewa moja ya timu ngumu sana barani Afrika katika mzunguko wa kwanza, Zalan FC na mkatutoa watanzania kimasomaso kwa kuitoa timu ngumu sana na tishio hatua za awali
 
Mkuu....unadhani Simba mngeweza kufunga hio timu...
Kwahiyo Al Hilal ni team ngumu ? Vipi sasa zile kauli zenu za kusema mtawapiga kama ngoma si chini ya goli tatu?[emoji23]

Waliwaset kwenye mtego wa kujifanya wamefungwa na academy ya Mazembe 3-0 , mkaingia uwanjana mkiwa na mindset HILAL ni vibonde.

Hii ligi inahitaji mbinu sana mzee, atleast mmeanza kutambua kuwa Hilal si level zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…