Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Huu Ni uchambuzi mzee....
 
Makolo huwa kujenga hoja ....mnafeli sana
 
Sudani meza inaenda kupinduliwa
 
Lkn uliwaona walivyoimarika ....

Nadhani ingekuwa mechi ya mashindano mngepigwa heavyweight
 
Hapana mkuu....zaran haikuwa tishio sana
 
Kwa hili Ni kweli mkuu.....walitudanganya wasenge wale

Lkn tunawafuata kwao....
 
Tusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…