Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Zalan mechi zao zote walichezea hapa hapa bongo aggregate ikawa 9-0, kwa nn msiwaombe hilal nao tumalizane bongo hapa hapa ili kupiga aggregate ya 10-1 maana refa atakuwa ni arajiga
Nawaambia Kule Khartoum hakuna rangi mtaacha kuona
 
Kiukweli huku Zambia watu wamefarijika sana kwa Simba kuifunga Agosto, Timu ambayo Red Arrows ilishindwa kuutafuna huu mfupa.

Faraja zaidi tumeipata baada ya kuona Wazambia Moses Phiri (MP) na Chama ndio walioongoza kulipa kisasi cha Red Arrows kutolewa
 
Tusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
Hapa wasipokuelewa basi tena
 
Yanga endeleeni kujifariji na utopolo wenu!
Mmeshakamatwa! Mlimtoa mtu kwa ushindi wa 9-0, lakini hapohapo mkashindwa kumfunga Al Hilal hata kwa ushindi 1-0, badala ya kuganga na hali zenu taabani mmeanza kuangaika na Simba!
 
Tusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
de agosto kafika nusu fainali 2018 wakiwa na zoran maki ila simba ya mwaka 1974 ya kina mambosasa ilifika nusu fainali klabu bingwa ikatolewa na mehala la kubra

so simba keshafika nusu fainali 1974 na fainali ya caf 1993..sc villa kafika fainali ya caf 1992..gor mahia kachukua winners cup (shirikisho)1987
 
0.5 unasemaje et?
 
achana naye mtoto wa shule uyo ukishaona mtu kweny mpira anaanza kukwambia mbona Simba alifungwa na kagera 3 afu yanga akashinda 4 Kwa kagera kwahyo yanga akikutana na Simba atamfunga Tano ukikutana na watu wa aina hii kimbia sana
 
Tusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
1993 Simba walifika finali au ulikuwa bado hujazaliwa?
 
1993 Simba walifika finali au ulikuwa bado hujazaliwa?
Labda ungeuliza huko nusu fainali walikofika hao Agosto ni mwaka gani kabla hujahoji kitoto hivyo. Ila ukitaka kujua waweza kupata hizo data bila hata kuuliza na ungepata hizo data hilo swali usingeuliza . Jiongeze kidogo. Kwa nini hata kuangalii ranking yao katika CAF?
 
Mambo ya Champions League hayakuwepo hiyo miaka ya 1990s. Ilikuwa ni knock out, knock out mwanzo hadi mwisho. Linganisha enzi hizi za Champions League plz
 
Tusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
Lkn pia waliwahi pigwa na namungo 6_2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…