Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa wasipokuelewa basi tenaTusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
Yanga endeleeni kujifariji na utopolo wenu!Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;
Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.
Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2
Simba 3 - Agosto 1
Cross multiplication
Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
Fact ni 0.5 utopoloLeta fact mkuu.....acha ushabiki[emoji23]
de agosto kafika nusu fainali 2018 wakiwa na zoran maki ila simba ya mwaka 1974 ya kina mambosasa ilifika nusu fainali klabu bingwa ikatolewa na mehala la kubraTusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
0.5 unasemaje et?Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;
Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.
Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2
Simba 3 - Agosto 1
Cross multiplication
Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
achana naye mtoto wa shule uyo ukishaona mtu kweny mpira anaanza kukwambia mbona Simba alifungwa na kagera 3 afu yanga akashinda 4 Kwa kagera kwahyo yanga akikutana na Simba atamfunga Tano ukikutana na watu wa aina hii kimbia sanaSwa
Sasa mechi ya pili haijachezwa then una draw conclusion kwa reference ya Namungo? Typical foolishness. Namungo alishinda hizo goli sita akiwa wapi chamazi. Pili alishinda jumla ya magoli 6 kwa mechi zote mbili au moja, wewe ni mtabiri au ? Unajua matokeo ya mechi ya pili?
Simba ameshinda goli tatu akiwa Angola na sio chamazi. Pili mbona Al hilal alifungwa goli nne na Simba akiwa taifa na yanga ameshindwa?
You see how stupid you are.
1993 Simba walifika finali au ulikuwa bado hujazaliwa?Tusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
Labda ungeuliza huko nusu fainali walikofika hao Agosto ni mwaka gani kabla hujahoji kitoto hivyo. Ila ukitaka kujua waweza kupata hizo data bila hata kuuliza na ungepata hizo data hilo swali usingeuliza . Jiongeze kidogo. Kwa nini hata kuangalii ranking yao katika CAF?1993 Simba walifika finali au ulikuwa bado hujazaliwa?
Mambo ya Champions League hayakuwepo hiyo miaka ya 1990s. Ilikuwa ni knock out, knock out mwanzo hadi mwisho. Linganisha enzi hizi za Champions League plzde agosto kafika nusu fainali 2018 wakiwa na zoran maki ila simba ya mwaka 1974 ya kina mambosasa ilifika nusu fainali klabu bingwa ikatolewa na mehala la kubra
so simba keshafika nusu fainali 1974 na fainali ya caf 1993..sc villa kafika fainali ya caf 1992..gor mahia kachukua winners cup (shirikisho)1987
Lkn pia waliwahi pigwa na namungo 6_2Tusisahau kuwa hiyo Agosto imewahi kufika semi final ya CAF champions league achievement ambayo hakina club ya East Africa iliyofikia. Pia angalia ranking yake ktk CAF then compare with other teams
Kwaiyo na Alhilal kaziga bom mochwari kwa yangaMkuu.....ihefu now sio yamwisho tena
Ilikuwa Ni champions au Bonanza???View attachment 2383080
Vipi kuhusu Al Hilal ni underdog kwa Simba au?