Je, kwa dini ya kiislamu ni ruksa kuvuta sigara?

Je, kwa dini ya kiislamu ni ruksa kuvuta sigara?

Kwenye Dini ya uislam Kuna hadithi ya Mtume swala na Salam ziwe juu yake, ikiwa inasema "usimdhru mtu wala usikukubAli kudhuriwa"
Unapokuja kwenye jambo la sigara, yenyewe imeandikwa kwenye box lake "uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako" tayari hapa unajidhuru, hivyo Haifai❌.
Lakini pia yule mtu aliekaribu na mvuta sigara nae pia hupata madhara kama yale ya mvuta sigara(Second-hand smoke impacts health) , kwasababu yeye Anavuta moshi unaotoka kwenye ncha ya sigara directly (bila kuchujw na kisponj). Hapa una mddhueu mtu haifai❌
 
Kwa mujibu wa mafundisho yao uislamu yanatakaza kujidhuru ,Dharar kwa namna yoyote ile.

Hivyo kukuta mwislamu anavuta sigara ni kama tu kumkuta mlokole akipasua amri ya sita madhabahuni na muumini wake tu
Sigara ni halali kwenye Uislamu,
Nchi zote za Kiislamu Kuanzia Saudi Arabia, Iran mpaka Afghanistan kwa Taliban Sigara ni halali kabisa na hata biashara ya sigara inaruhusiwa.
 
Tupe hayo maandiko kwenye Dini ya kiislamu yanayosema ya kwamba sigara ni halali.
Leta hayo maandiko ya dini ya Kiislamu yanayosema sigara ni haramu.
 
Sunan Ibn Majah 2340
Sahih Muslim 2003
Sunan Abu Dawud 3681
Hizi ni hadith zinazokata pombe tu ila sio sigara.

Sigara haijakatazwa moja kwa moja. Ila kuna vifungu vimekataza kujidhuru. So labda tuchukulie sigara ina madhara ndio inaingia humo....

Qur’an 2:195:
Qur’an 7:157:
 
Kwenye Dini ya uislam Kuna hadithi ya Mtume swala na Salam ziwe juu yake, ikiwa inasema "usimdhru mtu wala usikukubAli kudhuriwa"
Unapokuja kwenye jambo la sigara, yenyewe imeandikwa kwenye box lake "uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako" tayari hapa unajidhuru, hivyo Haifai❌.
Lakini pia yule mtu aliekaribu na mvuta sigara nae pia hupata madhara kama yale ya mvuta sigara(Second-hand smoke impacts health) , kwasababu yeye Anavuta moshi unaotoka kwenye ncha ya sigara directly (bila kuchujw na kisponj). Hapa una mddhueu mtu haifai❌
Je ukivuta kwa kiasi bila kudhuru ni ruksa?
 
Hizi ni hadith zinazokata pombe tu ila sio sigara.

Sigara haijakatazwa moja kwa moja. Ila kuna vifungu vimekataza kujidhuru. So labda tuchukulie sigara ina madhara ndio inaingia humo....

Qur’an 2:195:
Qur’an 7:157:
Ingekuwa vyema ukachambua kila moja ili tuone kama kweli inakataza pombe tu

Aya za Qur’an zinakataza "khamr" je unajua maana ya khamr?

“Kila kilevi ni pombe, na kila pombe ni haramu.”
— Sahih Muslim 2003.Je sigara sio kilevi?
 
SIGARA INARUHUSIWA NI MAK RUHU UKIVUTA UNAMKASILISHA MUNGU JAPO SIO DHAMBI SO KUVUTA SIGARA NI KIPIMO CHA IMANI THAABI...
 
Hata rushwa inapigwa vita vikali kikatiba lakini si unaona hali halisi huko kwa Matrafiki au sehemu za kazi....
 
Ingekuwa vyema ukachambua kila moja ili tuone kama kweli inakataza pombe tu

Aya za Qur’an zinakataza "khamr" je unajua maana ya khamr?

“Kila kilevi ni pombe, na kila pombe ni haramu.”
— Sahih Muslim 2003.Je sigara sio kilevi?
Sigara kuwa kilevi au si kilevi ni mjadala mkali sana. Wengine wanasema si kilevi....
Je sigara na kahawa zote si zinasisimua mwili
 
Sigara ninavyojua ni makruhu bado nasoma ila ostadh wetu kasema ni mak ruhu japo havuti ila kama ni tofauti na ninavyojua unaweza kuniekeza mana bado mwanafunz
Sunan Ibn Majah 2340
Sahih Muslim 2003
Sunan Abu Dawud 3681

Tafuta hizi uone na pia tafuta maana ya neno khamr lililotumika kwenye Qur’an ambalo watu wanalitumia kumaanisha pombe pekee yaani vinywaji
 
Back
Top Bottom