Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
You is ***Mimi ni MFIRAJI pia na ni KAFIRI pia, Kuna lingine?
You is ***Mimi ni MFIRAJI pia na ni KAFIRI pia, Kuna lingine?
Mbona mnasisitiza haramu ni kitimoto na pombe, nadra sana kusikia mnasema sigara haramu, whyHairuhusiwi
Nafikiri kwa sasa unaingia tu kwenye ubishi usio na faida maana nimekueleza kinachodhuru na kinacholewesha ndio khamr au pombe na ni haramuSigara kuwa kilevi au si kilevi ni mjadala mkali sana. Wengine wanasema si kilevi....
Je sigara na kahawa zote si zinasisimua mwili
Mimi naona vyote vinasisitizwa sana kuhusu kusisitizwa zaidi uharamu wa nguruwe kuliko sigara huwezi jua labda ni maeneo uliyoishi wewe tuMbona mnasisitiza haramu ni kitimoto na pombe, nadra sana kusikia mnasema sigara haramu, why
Those are future terrorists and terror bred that's why even Allah who is confined in kaaba can't do nothing 😆😆😆Hata wayahudi hawali nguruwe lakini wanaua vitoto vichanga huko Gaza.
Sibishani mkuu. Najaribu kuelewa na pia kuingia deep zaidi kwenye mada.Nafikiri kwa sasa unaingia tu kwenye ubishi usio na faida maana nimekueleza kinachodhuru na kinacholewesha ndio khamr au pombe na ni haramu
Nakazia hoja. Tatizo hapo ni kutokujua. Yan mtu anashindwa ku-define ni kiasi gani (%) cha hivo vitu kinakatazwa( Kama kweli lipo/kuna katazo).Pombe haina shida ama katazo kwa mtu yoyote kutumia, vile vile bangi, sigara n.k !
Hizi dini zinapumbaza tu watu !
Wewe kama unamudu kutumia kileo tumia, ukiona haumudu acha kabisa
Wafanya vurugu na wanaoharibu mali za watu , wasiopenda amani ni ruksa kuwashughulikiaVipi na vikundi vya kukata watu vichwa kama kile cha mwamposa cha kuzuia maandamano, ni haramu?
Vipi wezi wa kura, watekaji na wauajiWafanya vurugu na wanaoharibu mali za watu , wasiopenda amani ni ruksa kuwashughulikia
Kadhi pia nikukaribishe kwenye uzi wangu huu kukuonyesha mimi sina shida wala udini na waislamu. Nimeishi nao sana na pia ni ndugu zangu. Nawaheshimu. Ila ni muhimu kupeana ilimuAcha udini, wakristo wakatoliki Pombe na Sigara ruksa. Kwanini husemi hao unakimbilia waislam?
Hivyo kabisa.
Karibu tule nyama ya NGURUWE shehe wanguYou is ***
Sigara sio kileviIngekuwa vyema ukachambua kila moja ili tuone kama kweli inakataza pombe tu
Aya za Qur’an zinakataza "khamr" je unajua maana ya khamr?
“Kila kilevi ni pombe, na kila pombe ni haramu.”
— Sahih Muslim 2003.Je sigara sio kilevi?
Gaidi ni Netanyahu na genge lake...Those are future terrorists and terror bred that's why even Allah who is confined in kaaba can't do nothing 😆😆😆
adriz de mbusii
Sawa si umeelewa?Sibishani mkuu. Najaribu kuelewa na pia kuingia deep zaidi kwenye mada.
Napata maarifa zaidi tunavyoendelea kujadiliana....
Anyway tujikite hapo kwenye sigara na pombe.
Nani amekwambia sigara sio kilevi?Sigara sio kilevi
Nafahamu vizuri sana , ila sifikiri kama miongozo ya waislamu inatoka kwenye sheria za nchi fulani tofauti na Quran yaoSigara ni halali kwenye Uislamu,
Nchi zote za Kiislamu Kuanzia Saudi Arabia, Iran mpaka Afghanistan kwa Taliban Sigara ni halali kabisa na hata biashara ya sigara inaruhusiwa.