Je, kwa dini ya kiislamu ni ruksa kuvuta sigara?

Je, kwa dini ya kiislamu ni ruksa kuvuta sigara?

Wasalaam waleikhum ndugu zangu waislam na wakristo....

Ni kawaida kwa waumini wa kislamu kukuta hawatumii pombe kwa kuwa imekatazwa kwenye maandiko. Ila sigara kwao ni kama chanda na pete!! Ukitembelea nchi nyingi za kiislamu kuna uvutaji mkubwa wa sigara na siku hizi shisha.

Je ni ruksa kwao kuvuta sigara?
Mkuu,

Je unataka kuwa muislamu?
 
Nafahamu vizuri sana , ila sifikiri kama miongozo ya waislamu inatoka kwenye sheria za nchi fulani tofauti na Quran yao
Quran ingekuwa imekataza sigara wala kusingekuwa na mabishano kama sigara ni haramu au sio haramu.
 
Wanawake wa kobazi wanakatazwa kuendesha magari? nasikia kule mnapoenda kuhiji ilikuwa marufuku kwa karne nyingi tuu
 
Uislamu unakataza kitendo Cha mwanadamu kitumia vitu ambavyo vinadhuru afya yake, hivyo haijaandikwa kwamba ni dhambi Ila dhambi ni kudhuru afya ambayo MUNGU amekupatia.
 
its crazy, wanakuambia uache kula nguruwe lakini wanakuruhusu kumuua muyahudi na mkristo na utaapata thawabu maradufu.

Such a tantalizing ideology.👿

Kula Nguruwe ni Dhambi.
Lakini Kuua sio dhambi.
Hao watu bn
Nasimama na hii aya, na ni kweli ukiingia anga mbovu lazima uliwe kichwa kafiri

Fight in the way of Allah against those who fight against you but do not transgress,for Allah does not love transgressors. (2:191) Kill them whenever you confront them and drive them out from where they drove you out. (For though killing is sinful) wrongful persecution is even worse than killing.
 
Nasimama na hii aya, na ni kweli ukiinga anga mbovu lazima uliwe kichwa kafiri

Fight in the way of Allah against those who fight against you but do not transgress,for Allah does not love transgressors. (2:191) Kill them whenever you confront them and drive them out from where they drove you out. (For though killing is sinful) wrongful persecution is even worse than killing.
H
Duh¿ mbona ni hatari mkuu
 
Back
Top Bottom