Hussein Mbega
JF-Expert Member
- Jun 7, 2026
- 562
- 1,253
Mkuu,Wasalaam waleikhum ndugu zangu waislam na wakristo....
Ni kawaida kwa waumini wa kislamu kukuta hawatumii pombe kwa kuwa imekatazwa kwenye maandiko. Ila sigara kwao ni kama chanda na pete!! Ukitembelea nchi nyingi za kiislamu kuna uvutaji mkubwa wa sigara na siku hizi shisha.
Je ni ruksa kwao kuvuta sigara?
Hapana.Mkuu,
Je unataka kuwa muislamu?
Quran ingekuwa imekataza sigara wala kusingekuwa na mabishano kama sigara ni haramu au sio haramu.Nafahamu vizuri sana , ila sifikiri kama miongozo ya waislamu inatoka kwenye sheria za nchi fulani tofauti na Quran yao
Hata Biblia haijakataza sigara , wala bangi ila wapo wakristo wanaodai ni haramuQuran ingekuwa imekataza sigara wala kusingekuwa na mabishano kama sigara ni haramu au sio haramu.
Ruksa kuwapigaVipi wezi wa kura, watekaji na wauaji
Sahihi kabisa bwasheeNa huu ndio ukweli usio na shaka
Hairuhusiwi
Huwa sijadili na wewe nakupa taarifa tuHaijakatazwa popote.
Kwahiyo umeshindwa kuwauliza hao waislamu unaishi nao umekuja kuuliza walokole wenzako humu ?Hapana.
Naongeza ilim...
Naishi na waislamu
its crazy, wanakuambia uache kula nguruwe lakini wanakuruhusu kumuua muyahudi na mkristo na utaapata thawabu maradufu.
Such a tantalizing ideology.👿
Nasimama na hii aya, na ni kweli ukiingia anga mbovu lazima uliwe kichwa kafiriKula Nguruwe ni Dhambi.
Lakini Kuua sio dhambi.
Hao watu bn
Waswahili kwa 'naskia'...hatujamboWanawake wa kobazi wanakatazwa kuendesha magari? nasikia kule mnapoenda kuhiji ilikuwa marufuku kwa karne nyingi tuu
HNasimama na hii aya, na ni kweli ukiinga anga mbovu lazima uliwe kichwa kafiri
Fight in the way of Allah against those who fight against you but do not transgress,for Allah does not love transgressors. (2:191) Kill them whenever you confront them and drive them out from where they drove you out. (For though killing is sinful) wrongful persecution is even worse than killing.
Hapana mkuu , ni cause and effectH
Duh¿ mbona ni hatari mkuu
Wamejitungia mafundisho yao kama hao Waislamu wanaosema Quran imekataza sigara.Hata Biblia haijakataza sigara , wala bangi ila wapo wakristo wanaodai ni haramu
OkWamejitungia mafundisho yao kama hao Waislamu wanaosema Quran imekataza sigara.
Sidhani kama ni uelekeo wa swali langu.Kwahiyo umeshindwa kuwauliza hao waislamu unaishi nao umekuja kuuliza walokole wenzako humu ?
Acha mbaambaa mlokole, unasema unaishi na waislamu senegali ambao ni asilimia 90, halafu unakuja kuuliza walokole wenzako humu, acha uzwazwa mdini weweSidhani kama ni uelekeo wa swali langu.
Have a good day.