Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

Nyuzi zingine hazifai kuendelea kua active mtu ana andika hisia zake ambazo hana evidence tena kwenye vitu sensitive ajabu Moderator Moderator mnaziacha zi flow
 
Nyuzi zingine hazifai kuendelea kua active mtu ana andika hisia zake ambazo hana evidence tena kwenye vitu sensitive ajabu Moderator Moderator mnaziacha zi flow
Usiwapangie moderators cha kufanya, nyie mangapi mnaandika ya uzushi kuhusu Simba? Msijione nyie ni special saaana humu,kikombe mnachonywesha wengine na nyie mtanywea hicho hicho.
 
Usiwapangie moderators cha kufanya, nyie mangapi mnaandika ya uzushi kuhusu Simba? Msijione nyie ni special saaana humu,kikombe mnachonywesha wengine na nyie mtanywea hicho hicho.
Tatizo unafikiri kila kitu ni Simba na Yanga umeona hapa naongelea mpira? Mtu anatoa shutuma kuhusu biashara za watu pasipo kua na uthibitisho anyway endeleeni na ujinga wenu
 
Bibie umeshasnza uongo nkkuambie kitu energy za mo zinapendwa zaidi kuliko za huyo sijui azam
 
Nyuzi zingine hazifai kuendelea kua active mtu ana andika hisia zake ambazo hana evidence tena kwenye vitu sensitive ajabu Moderator Moderator mnaziacha zi flow
Mnavyozidi Kunichukia ndiyo mmazidi tu Kuniongezea Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums sema tu Majuha ( Fools ) nyie bado hamjalijua hilo na hamtolijua kamwe.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Usiwapangie moderators cha kufanya, nyie mangapi mnaandika ya uzushi kuhusu Simba? Msijione nyie ni special saaana humu,kikombe mnachonywesha wengine na nyie mtanywea hicho hicho.
Kiongozi umepata wapi muda wa Kulijibu hilo Juha ( Fool ) la Jamvi? Mimi nilishalidharau Kitambo mno ila huwa Nalisanifu tu hapa.

Cha Kushangaza anaongoza Kunichukia GENTAMYCINE lakini Yeye 24/7 lazima asome Mada zangu, achangie na nyingi tu huwa ananipa Likes je, unadhani huyu si Bipolar na huenda anahitaji Tiba ya haraka katika Hospitali yoyote ile ya Wagonjwa wa Akili / Wendawazimu?

Cc: ukikaidi utapigwa2
 
Bibie umeshasnza uongo nkkuambie kitu energy za mo zinapendwa zaidi kuliko za huyo sijui azam
Na wana Yanga SC ndiyo wanaoongoza kwa Kuzinunua na Kunywa / Kuzinywa japo wanajua zinatengenezwa na Kampuni ya mwana Simba SC na wasiyempenda Mohammed Mo Dewji.
 
Ushaambiwa kuwa GSM nae anataka aanze kuzalisha GSM Energy drink, GSM Cola, GSM Ukwaju, GSM Embe, GSM Unga, GSM Chapati, GSM Sukari na mataka taka yote unayoyajua kuwa Azam anatengeneza. Inshort wanataka kuwa direct competitors wa Azam products.
GSM Marine, GSM Upholstry, GSM Security, GSM Tailoring, GSM TV etc etc etc
 
watu wa simba mateso yatawaisha lini, mnahangaika sana mtoa maada acha uchonganishi.
 
Nilipoona tu GSM anatumia Nguvu Kubwa hadi ya Kipesa kuhakikisha kuwa 98% ya Viongozi wa Yanga SC Rais, Makamu na Wajumbe ni kutoka huko huko GSM nilijua kuna tatizo la Kipumbavu litakuja Kutokea tu na limetokea tayari.
Zile 20bn zetu zipo wapi popoma. Unaandika ujinga wakati kwetu simba kumeoza
 
Aisee naupinga umasikini na Akili za kimasikini za ajabu ajabu sana. Usikute wenyewe matajiri wametulia tu wanapigiana simu na wanakutana kwenye chama chao cha wafanyabiashara, sisi huku masikini tumekaa kuwachonganisha na kuota ujinga ujinga tu
Ndicho alichoandika hapa huyu mpumbavu
 
Mnavyozidi Kunichukia ndiyo mmazidi tu Kuniongezea Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums sema tu Majuha ( Fools ) nyie bado hamjalijua hilo na hamtolijua kamwe.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Nikuchukie kwa lipi? mimi na wewe tuna connect kwenye nini hadi nikuchukie shida yako ni ujuaji wa kipumbavu unatakaga kila unacho uongea kiwe sheria who are you?
 
Atakuja kufeli kwenye marketing asam ameshaji establish kwa muda mrefu na amefika kila kona ya nchi na kuvuka mipaka ndani ya muda mrefu, trust aliuoijenga kwa customers wake kwa miaka 20+ si rahisi kupotea kisa uto hawatonunua,, na bidhaa zake ni kama ngumi ya ndoige hutaki utanunua unataka utanunua tu,, maana jamaa anauza every thing binadamu anahitaji, kuanzia maji unga sukari mpaka kiberiti,, strategy anayoitumia gsm itaishia kwa wanchama na viongozi wa matawi tu ndii watakunywa gsm ukwaju, ila bibi yangu nanjilinji yanga mtupu, anapiga energy ya azam akiwa shamba analima, aendelee na magodoro na furnitures tu, kama hiyo ndio idea ya kuwa compitator wake awe makini, azam kwenye soft drink anawakimbiza coca na pepsi kwenye market share, just hapo tu ndipo atakaposhindwa,
Ushaambiwa kuwa GSM nae anataka aanze kuzalisha GSM Energy drink, GSM Cola, GSM Ukwaju, GSM Embe, GSM Unga, GSM Chapati, GSM Sukari na mataka taka yote unayoyajua kuwa Azam anatengeneza. Inshort wanataka kuwa direct competitors wa Azam produ
 
Yani mpira tu ndo ufanye nisinunue unga wa azam?
Watuache sasa, kwenye mambo ya mpira tutasapotiana ila huku kwengine kila mtu afanye yake aisee.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…