ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwapangie moderators cha kufanya, nyie mangapi mnaandika ya uzushi kuhusu Simba? Msijione nyie ni special saaana humu,kikombe mnachonywesha wengine na nyie mtanywea hicho hicho.Nyuzi zingine hazifai kuendelea kua active mtu ana andika hisia zake ambazo hana evidence tena kwenye vitu sensitive ajabu Moderator Moderator mnaziacha zi flow
Tatizo unafikiri kila kitu ni Simba na Yanga umeona hapa naongelea mpira? Mtu anatoa shutuma kuhusu biashara za watu pasipo kua na uthibitisho anyway endeleeni na ujinga wenuUsiwapangie moderators cha kufanya, nyie mangapi mnaandika ya uzushi kuhusu Simba? Msijione nyie ni special saaana humu,kikombe mnachonywesha wengine na nyie mtanywea hicho hicho.
Bibie umeshasnza uongo nkkuambie kitu energy za mo zinapendwa zaidi kuliko za huyo sijui azamHao mashabiki wanapiga yowe tu mtandaoni, lakini ukija kwa ground woote wako duka la mangi wanamchangia Azam kimya kimya.
Hali ni ngumu kitaa, mtu anapata wapi ujasiri wa kuboycott bidhaa ya kampuni fulani? Wangapi wana substitute kwa hzo bidhaa?
Af pia hata quality znatofautiana. Kwa mfano energy drink ya bakhressa ni nzuri kuliko ya Mo. So ni aibu mtu mzima na akili zako kutumia inferior producy kwa ajili ya mapenz na timu ambayo hata mia hawakupi mwisho wa mwezi.
Last but not least, hata wakimkwepa Azam, inmediate supplier wa product kama za Azam ni Mo ambae yuko Simba. So sasa hv Yanga wanaanza kuwasupport simba?
Yaan hawa wafanyabiashara wanatumia tu divide and rule kuwachanganya mambumbumbu then waje wawale vichwa.
Ujinga bado ni mkubwa sna kwa baadhi ya watu
Mnavyozidi Kunichukia ndiyo mmazidi tu Kuniongezea Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums sema tu Majuha ( Fools ) nyie bado hamjalijua hilo na hamtolijua kamwe.Nyuzi zingine hazifai kuendelea kua active mtu ana andika hisia zake ambazo hana evidence tena kwenye vitu sensitive ajabu Moderator Moderator mnaziacha zi flow
Kiongozi umepata wapi muda wa Kulijibu hilo Juha ( Fool ) la Jamvi? Mimi nilishalidharau Kitambo mno ila huwa Nalisanifu tu hapa.Usiwapangie moderators cha kufanya, nyie mangapi mnaandika ya uzushi kuhusu Simba? Msijione nyie ni special saaana humu,kikombe mnachonywesha wengine na nyie mtanywea hicho hicho.
Juha ambaye hujawahi kuwa na Akili.Tatizo unafikiri kila kitu ni Simba na Yanga umeona hapa naongelea mpira? Mtu anatoa shutuma kuhusu biashara za watu pasipo kua na uthibitisho anyway endeleeni na ujinga wenu
Na wana Yanga SC ndiyo wanaoongoza kwa Kuzinunua na Kunywa / Kuzinywa japo wanajua zinatengenezwa na Kampuni ya mwana Simba SC na wasiyempenda Mohammed Mo Dewji.Bibie umeshasnza uongo nkkuambie kitu energy za mo zinapendwa zaidi kuliko za huyo sijui azam
Na nyie endeleeni na upumbavu wenu wa kuvua nguo hadharani.Tatizo unafikiri kila kitu ni Simba na Yanga umeona hapa naongelea mpira? Mtu anatoa shutuma kuhusu biashara za watu pasipo kua na uthibitisho anyway endeleeni na ujinga wenu
GSM Marine, GSM Upholstry, GSM Security, GSM Tailoring, GSM TV etc etc etcUshaambiwa kuwa GSM nae anataka aanze kuzalisha GSM Energy drink, GSM Cola, GSM Ukwaju, GSM Embe, GSM Unga, GSM Chapati, GSM Sukari na mataka taka yote unayoyajua kuwa Azam anatengeneza. Inshort wanataka kuwa direct competitors wa Azam products.
Zile 20bn zetu zipo wapi popoma. Unaandika ujinga wakati kwetu simba kumeozaNilipoona tu GSM anatumia Nguvu Kubwa hadi ya Kipesa kuhakikisha kuwa 98% ya Viongozi wa Yanga SC Rais, Makamu na Wajumbe ni kutoka huko huko GSM nilijua kuna tatizo la Kipumbavu litakuja Kutokea tu na limetokea tayari.
Ndicho alichoandika hapa huyu mpumbavuAisee naupinga umasikini na Akili za kimasikini za ajabu ajabu sana. Usikute wenyewe matajiri wametulia tu wanapigiana simu na wanakutana kwenye chama chao cha wafanyabiashara, sisi huku masikini tumekaa kuwachonganisha na kuota ujinga ujinga tu
AzamNi kweli. Lakini tukiweka hzo energy kando, if we r being honest na ushabiki tuweke pembeni, between Azam na Mo, who has better quality products?
Nikuchukie kwa lipi? mimi na wewe tuna connect kwenye nini hadi nikuchukie shida yako ni ujuaji wa kipumbavu unatakaga kila unacho uongea kiwe sheria who are you?Mnavyozidi Kunichukia ndiyo mmazidi tu Kuniongezea Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums sema tu Majuha ( Fools ) nyie bado hamjalijua hilo na hamtolijua kamwe.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Ushaambiwa kuwa GSM nae anataka aanze kuzalisha GSM Energy drink, GSM Cola, GSM Ukwaju, GSM Embe, GSM Unga, GSM Chapati, GSM Sukari na mataka taka yote unayoyajua kuwa Azam anatengeneza. Inshort wanataka kuwa direct competitors wa Azam produ