Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

Atakuja kufeli kwenye marketing asam ameshaji establish kwa muda mrefu na amefika kila kona ya nchi na kuvuka mipaka ndani ya muda mrefu, trust aliuoijenga kwa customers wake kwa miaka 20+ si rahisi kupotea kisa uto hawatonunua,, na bidhaa zake ni kama ngumi ya ndoige hutaki utanunua unataka utanunua tu,, maana jamaa anauza every thing binadamu anahitaji, kuanzia maji unga sukari mpaka kiberiti,, strategy anayoitumia gsm itaishia kwa wanchama na viongozi wa matawi tu ndii watakunywa gsm ukwaju, ila bibi yangu nanjilinji yanga mtupu, anapiga energy ya azam akiwa shamba analima, aendelee na magodoro na furnitures tu, kama hiyo ndio idea ya kuwa compitator wake awe makini, azam kwenye soft drink anawakimbiza coca na pepsi kwenye market share, just hapo tu ndipo atakaposhindwa,
Hauwezi mziki wa Azam yeye aendelee na ukwepaji kodi bandarini
 
Back
Top Bottom