shukrani mkuu kwa maoni yako. nimeyapokeaMapenzi bana ..
Mkuu huyo manzi unampenda sana ndo mana na yeye anajua hilo.Na kingine MNA utoto mwingi .Mkiwa wakubwa mtaacha hizo childish game .
Usikute mwenzio yuko na njemba nyingine huko wanaenjoy.
mkuu nikimtafuta neno lake analoniambi yupo sawa kabisa, wala hakuna shida nimejaribu sana kumbembeleza ila wapi, ila mimi naona mabadiliko ya hapa ana paleKwann usimuite mkaongea face to face, huenda kachoka miaka 4 ni mingi mno na humuoneshi dalili yoyote ile
Kama umeoanga kumuoa muingage labda anaweza jiaminisha yeye ni wako
Kujikaza kisabuni wakati unaumia ni ulofa mtafute mwenzio
namshirikisha kwenye kila jambo ninalopanga kulifanya mkuuMwambie una dalili kama za Covid 19, Na hapo ulipo unaenda hospitality kumwona Dk, uone reaction yake , Pili unaweza kufanya Mipango flani hasa ya kimaendeleo, mshirikishe uone reaction yake pia, in vzuri sana kumjaribu mpenzi wako kabla ya ndoa, mpime kwa kila jambo, inawezekaba na yeye anakupima ili aone huwa unaact vipi mkiwa katika khali hiyo
Huna haja ya kujiuliza sana.Habarini ndugu zangu, poleni na majukumua ya hapa na pale, niende moja kwa moja kwenye mada ya andiko hili
nipo na mpenzi wangu, ni mwaka wa 4 sasa na nimepanga kama mungu akijaalia nimuoe mwakani mwishoni, uyu binti nampenda sana sana na tumepitia ups and down za hapa na pale ila kwa ili naomba niwashirikishe kidogo.
Nili note baadhi ya mabadiliko ya hapa na pale katika communication kati yangu mimi na yeye, baada ya kumuuliza kama kuna shida akadai kuwa hakuna shida yeyote (niliona amebadilika tofauti na nilivyo mzoea ndio maana nilimuuliza), akawa ni mgumu sana wa kunitafuta kwa simu mpaka nimuanze mimi (ni kitu kilichoanza ghafla tu maana kwa kawaida lazima tutafutane kila siku asubuhi na jioni kabla ya kulala),
Baada ya kuona mwenzangu amebadilika hayupo sawa sawa na nikimuuliza anadai yupo sawa tu hakuna tatizo lolote na upande wa communication naona kama mimi ndio natumia nguvu nyingi sana kumtafuta wakati mwanzoni haikuwa ivyo kwa upande wangu nikaamua kuchukua maamuzi kama ifuatavyo, "nikajiwekea msimamo wa kutomtafuta tena, kama anaona namfaa basi atanitafuta yeye"-----msimamo huu niliauanza jumatano ya week hii inayoisha leo
Note: kiukweli nampenda sana, ata huo msimamo nimeuweka kwa kujikaza sana sana.
Alihamisi asubuhi alitafuta yeye kwa salamu tu whatsup......nami nilimuhitikia vizuri na kumjibu kama vile hakijatokea kitu
Ijumaa pia alinitafuta tena.......tunasalimiana tu ila sio kwa maongezi malefu (conversation ndefu za sms kama kipindi cha mwanzo)
Jumamos ya jana hakunitafuta, nami sikumtafuta kabisaa siku nzima
Leo jumapili hakunitafuta na mimi pia sijamtafuta mpaka muda huu
kwa upande wangu nahisi upweke wa ghafla tu umenijia, natamani kumtafuta ila nahisi kama amenidhalau,
moyo unanishawishi nimtafute ila akili inagoma kabisa.
naomba waungwana, waliovuka iki kiunzi maana kama kumpenda nampenda na nahisi msimamo nilioweka unaniumiza mimi ebu nisaidieni mawazo yenu wakuu.
huu msimao ni tiba au ni kuchochea moto.?
KANUNI KUUnidadavulie hapa mkuu, sijakupata sawa sawa mkuu
nimekuelewa mkuuNakuambia mdogo wangu kwa tabia ya mwanamke hawezi kukaa muda bila kuchati na mtu wake alie mzoea lazima kuna mtu anae wasiliana nae ndio maana wewe amesha anza kukusahau chunguza kitu kinacho weza mfanya mwanamke awe mbali na mtu wake wa karibu kama sio mwanaume mwingine bas ni watoto wake
nimekusoma vizuri kabisa mkuu, ubarikiwe sanaKANUNI KUU
Wanawake hutengeneza masharti na kuwa na tabia zisizo eleweka kwa wanaume wa kawaida au wa sio na malengo nao ILA huwa na heshima na kicho kwa Mwanaume ambaye ana future naye na humpenda kwa data.
Mkuu amini hili "mwanamke yeyote akikupenda kamwe hata kufanya ukae na mashaka huwa chanzo cha kweeli cha furaha maishani mwako.
Niamini hawa viumbe tunakuwa nao ili tufurahi kukiwa na ulakini ujue "hapo hakuna safari"
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumua ya hapa na pale, niende moja kwa moja kwenye mada ya andiko hili