Je, kwa ili nililoanza kulifanya kwa huyu mpenzi wangu linaweza kuleta athari kwangu?

Mkuu pole sana.

Sifa ya mwanaume ni msimamo na kuyasimamia anayoyaamini. Dont force love just let it flow by itself. Usiogope kumuacha aende itakusaidia sana, if she was meant for u, atarudi kwa namna usioutarajia. If you think huwezi kuvumilia just delete her contact everywhere then give uaself time to forget.
nimekuelewa sana mkuu, ubarikiwe sana!!
 
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumua ya hapa na pale, niende moja kwa moja kwenye mada ya andiko hili

nipo na mpenzi wangu, ni mwaka wa 4 sasa na nimepanga kama mungu akijaalia nimuoe mwakani mwishoni, uyu binti nampenda sana sana na tumepitia ups and down za hapa na pale ila kwa ili naomba niwashirikishe kidogo.

Nili note baadhi ya mabadiliko ya hapa na pale katika communication kati yangu mimi na yeye, baada ya kumuuliza kama kuna shida akadai kuwa hakuna shida yeyote (niliona amebadilika tofauti na nilivyo mzoea ndio maana nilimuuliza), akawa ni mgumu sana wa kunitafuta kwa simu mpaka nimuanze mimi (ni kitu kilichoanza ghafla tu maana kwa kawaida lazima tutafutane kila siku asubuhi na jioni kabla ya kulala),

Baada ya kuona mwenzangu amebadilika hayupo sawa sawa na nikimuuliza anadai yupo sawa tu hakuna tatizo lolote na upande wa communication naona kama mimi ndio natumia nguvu nyingi sana kumtafuta wakati mwanzoni haikuwa ivyo kwa upande wangu nikaamua kuchukua maamuzi kama ifuatavyo, "nikajiwekea msimamo wa kutomtafuta tena, kama anaona namfaa basi atanitafuta yeye"-----msimamo huu niliauanza jumatano ya week hii inayoisha leo

Note: kiukweli nampenda sana, ata huo msimamo nimeuweka kwa kujikaza sana sana.

Alihamisi asubuhi alitafuta yeye kwa salamu tu whatsup......nami nilimuhitikia vizuri na kumjibu kama vile hakijatokea kitu
Ijumaa pia alinitafuta tena.......tunasalimiana tu ila sio kwa maongezi malefu (conversation ndefu za sms kama kipindi cha mwanzo)
Jumamos ya jana hakunitafuta, nami sikumtafuta kabisaa siku nzima
Leo jumapili hakunitafuta na mimi pia sijamtafuta mpaka muda huu

kwa upande wangu nahisi upweke wa ghafla tu umenijia, natamani kumtafuta ila nahisi kama amenidhalau,

moyo unanishawishi nimtafute ila akili inagoma kabisa.

naomba waungwana, waliovuka iki kiunzi maana kama kumpenda nampenda na nahisi msimamo nilioweka unaniumiza mimi ebu nisaidieni mawazo yenu wakuu.

huu msimao ni tiba au ni kuchochea moto.?
Kama unaweza tumia mbinu za kivita ambazo nlizitumia two yrs ago nkafanikisha kumnasa mnafiki mmoja ambae alkua anajkuta anajua kunililia machozi kwa nje, kmbe ndan hamna k2.

Fanya ambush, kma unawezakumfikia alipo bila yeye kujua na ukawa na accessibility ya kupekua sim yake. Fanya kama ugeni wa dharura, au kumvizia mitaa ambayo unaezakuktana nae paspo yey kujiandaa kuktana na wew. Make sure you are smart enough, otherwise hutoambulia kitu, 7bu kikubwa hapa ni kupata ushahidi.

Utakayo yakuta humo ndani ndo yatajibu maswali unayouliza hapa. Ila inabd uwe na roho ngumu kfnya hii mission. Maana inawzakukvruga kabsa & kma hiv unasema unampenda.

Apana mwanaume anapenda kuonekana mnyonge.
 
nimpe muda kimya kimya mkuu, au nimuambie kuwa "ngoja nikupe muda, kama utaona unaweza kuendelea na ili penzi its ok, kama unaona unaweza kuendelea na maisha yako mengine uliochagua its ok" which is good???
 
nimekuelewa mkuu, nimepokea
 
Nooo , kwa kua umejitahidi sana kutaka kujua kinachomsumbua, nayeye hasemi kitu zaidi ya matendo, ni wazi kua kuna mahali kaamishia hisia, bila ivo angekua tayar keshakushirikisha.

Kujaribu kuendelea kumpa muda wako nawewe kufanya mengiiiiiiii kuliko yeye, nikuendelea kutengeneza mazingira ya kujiumiza mwenyewe.

Sasa nini bora??? najua unapokaa kimya nayeye anakutext inakuumiza sana, na unataman akuweke wazi .

Embu kua kama mwanaume, Piga kimya, akikutext acha kumjibu, akipiga simu acha kupokea.

Kwa ufupi mfanye ajue amekukosea kwa mabadiliko ya matendo yake, kama ni wako atakua wako, kama ni wa wahuni hata ufanye vipi sanasana utajiumiza mwenyewe.

Piga kimya, mpaka siku atakapokuuliza, mbona umenibadilikia sana?.nawewe utamwambia, nilipoona umebadilika, niliamua kukuacha ufanye mambo yako, ukiwa sawa utanitafuta.

asante sana mkuu, nimekuelewa sana sana sana
 
Mimi kwa kweli Nitakua tofauti na wengi..
As long umejitahidi lakini Amegoma,

Hapo ni kula bunda tuuu...
Kama anatest mitambo, hamna sababu kama anavyosema atarudi....

Kama ndio anaondoka, ataondoka tuu, kinyume na hapo unarefusha muda wa maumivu.

Na ni bora ajirudi mwenyewe atakuja na nguvu kuliko kuhangaika kumrudisha, Utalazimisha kumrudisha ,ila kumbakiza hutaweza...

Ligi za ku mute, napitaga na point zote..
 
ubarikiwe
 
Kamanda kwa namna yoyote baharia huwa anatakiwa kupendwa yeye na sio kupenda, ikiwa kinyume ni majanga sana, kikubwa jinyenyekeze sana na piga game sana mara kwa mara huku unatafuta kifaa ambacho kitakupenda wewe na wewe ukiwa na nia na dhamira ya dhati ya kuoa, mimi kama baharia kasi ya mahaba napita na umili kunako buzz ama boziboziana, hainaga kufeli mwamba.
 
asante sana mkuu, nimekuelewa sana sana
 
Angalia asijekua keshapata Baharia mwingine wakumchatisha nakumdatisha navikopakopa huku akijifanya anamcare sana. Kuna watu wanachati bhana wacha kabisa yn ile sanne ww unaamuambia/unaambiwa bby usiku mwema, Baharia hapo ndokwanza anaanza nahapo ngoma inaenda hadi ngoma sita au saba unakuta mtoto muda wote anatabasamu tu ebhana hapo lazima mawasiliano kwako yapungue..
Sema ninamambo matatu yakukushauri chief.
Lakwanza :- TAFUTA HELA
Lapili :- TAFUTA HELA
Latatu:- TAFUTA HELA
Hayo mambo matatu ya mwisho ndio kila kitu.
 
Kamanda kwa namna yoyote baharia huwa anatakiwa kupendwa yeye na sio kupenda, ikiwa kinyume ni majanga sana, kikubwa jinyenyekeze sana na piga game sana mara kwa mara huku unatafuta kifaa ambacho kitakupenda wewe na wewe ukiwa na nia na dhamira ya dhati ya kuoa, mimi kama baharia kasi ya mahaba napita na umili kunako buzz ama boziboziana, hainaga kufeli mwamba.
shukrani sana mkuu, nimekuelewa sana mkuu.
 
Mimi kwa kweli Nitakua tofauti na wengi..
As long umejitahidi lakini Amegoma,

Hapo ni kula bunda tuuu...
Kama anatest mitambo, hamna sababu kama anavyosema atarudi....

Kama ndio anaondoka, ataondoka tuu, kinyume na hapo unarefusha muda wa maumivu.

Na ni bora ajirudi mwenyewe atakuja na nguvu kuliko kuhangaika kumrudisha, Utalazimisha kumrudisha ,ila kumbakiza hutaweza...

Ligi za ku mute, napitaga na point zote..
Hio sekta ya kumute naimudu vyemaa apite humo.
 
Sifa ya kwanz aya mwwanaume ni kuwa na maamuzi magumu Haijalishi ktk mazingira gani kwa mstakabali wa Maisha yake ya mbele.

Amini Kuna mtu kaingilia penzi lako,kwani Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili upweke wanawake Ni mafundi wa kuchati sana na ampendaye.

Mwite muongee Ana kwa Ana na usimame kweli Kama mwanaume achana na habari za kumpenda ,mwisho wa Mazungumzo Kama Kuna muafaka mzuri mpe misimamo yako mkumbushe na ahadi yenu ya ndoa na Taadhari /usia juu ya Mabaharia na nk

Mwisho Usionyeshe mabadiliko ataishi kwa Tahadhari kubwa ,Andaa kipindi cha kwenda kwake kwa kustukiza tena tafuta siku ambayo hajachati na wewe au simu haipatikani chukua simu kaa nayo siku nzima tena ikiwezekana awe na wewe ili asije kucheza rafu za kumstua mtu .ukivuka hapo upo salama ila uwe na Roho ngumu na maamuzi Kama mwanaume
 
Nakushauri kwa experience, ilishawahi kunitokea hyo, yaani me ndo nipige simu, nisipopiga hata kubip hafanyi hata text wapi ila ukiingia hewani unamwona anarusha status tu kwa wasap na vimeme vya kipumbavu ,
Baada ya kuumia sana nikaona isiwe taabu nikamwuliza what do u want me to do ili kurescue hii relationship coz haina afya , akajibu akasema yeye anaona ipo okey ,nikamwambia if ipo okey let us start afresh sijazoea mapenzi ya upande mmoja tukaanza kama a week yakajirudia yale yale sometimes simu unapiga hapokei ila ukiangalia wasp yupo online.
To cut the story short, kumbe alikwisha amua kumove on ila nafsi ilikuwa inamsuta anaogopa kusema.
Mapenzi ni hisia na zinaweza kuisha any time so jiandae kisaikolojia, inawezekana ameshapata mtu mwingine so anakuona kama kero
Acha mapenzi yafloo yenyewe usitumie nguvu kutafuta suluhu na mtu ambaye ameshaamua kuondoka na mwanamke anayekupenda atahakikisha anabaki kwako no matter what.
 
Sifa ya kwanz aya mwwanaume ni kuwa na maamuzi magumu Haijalishi ktk mazingira gani kwa mstakabali wa Maisha yake ya mbele.

Amini Kuna mtu kaingilia penzi lako,kwani Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili upweke wanawake Ni mafundi wa kuchati sana na ampendaye.

Mwite muongee Ana kwa Ana na usimame kweli Kama mwanaume achana na habari za kumpenda ,mwisho wa Mazungumzo Kama Kuna muafaka mzuri mpe misimamo yako mkumbushe na ahadi yenu ya ndoa na Taadhari /usia juu ya Mabaharia na nk

Mwisho Usionyeshe mabadiliko ataishi kwa Tahadhari kubwa ,Andaa kipindi cha kwenda kwake kwa kustukiza tena tafuta siku ambayo hajachati na wewe au simu haipatikani chukua simu kaa nayo siku nzima tena ikiwezekana awe na wewe ili asije kucheza rafu za kumstua mtu .ukivuka hapo upo salama ila uwe na Roho ngumu na maamuzi Kama mwanaume
nimepokea ujumbe wako mkuu, shukrani sana
 
Back
Top Bottom