I passed the same experience mkuu miaka 2 nyuma kwa mtu nliekaa nae miaka zaid ya 4, akiwa zaidi ya mapenz, nakuhakikishia kwa asilimia mia kuna mdau ameingilia penzi lenu. Jipe muda ila usijadhalilishe kwa kumtafuta sana, nifanyaj hivyo nikaumia zaid, huyu ana mtu mwingn though bado hana uhakika asilimia 100, wew amekuweka pending ndio maana hakati kabisa mawasiliano, in CASE jamaa hakueleweka anarudi kwako na sound kibao ndio maana hapotei kabisa..kuna mdau kaingilia show, usishnagae ukaona mtu anaolewa kama ivyotokea kwangu! Ila baada ya mwaka alirudi nimpe ushauri wa ndoa yake ili aachike nimuoe! Alilia sana, nimamjibu tu ndoa ina ups n down ongea na mmeo atabadilika! Mungu sio faru john, paaaap nimedaka chombo kingne mara 60 yake weka, fasta ndani, nnavyokwambia anakula sana limao! Anakucheat, utaumia sana, jamaa akieleweka hatarudi kwako, ukimganda atakupa maneno ya kuudhi! Ila nature haitamuacha, pole mkuu najua unapitia nin, nusra nichukue maamuzi ya ajabu!
Sent using
Jamii Forums mobile app