secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Mwanamke alikwambia A anamaanisha B....mkuu nikimtafuta neno lake analoniambi yupo sawa kabisa, wala hakuna shida nimejaribu sana kumbembeleza ila wapi, ila mimi naona mabadiliko ya hapa ana pale
huwajui hao viumbe.....!
lkn muhimu umchunguze usikute kuna njemba ina mkeep busy kiasi cha kukusahau....
Unaacha kupenda CCM ama chadema unapenda mwanamke we mtu bana!!!?
am joking......
fata ushauri hapo juu