Je, kwa ili nililoanza kulifanya kwa huyu mpenzi wangu linaweza kuleta athari kwangu?

shukrani sana sana mkuu, nimekusoma sana
 
Mke wangu Juliana tulioana 1999. Tuna watoto 5. Niko safari. Leo majuma 2 yamepita, sijamtafuta na wala hajanitafuta. Sijui unatushauri tupeane talaka? Tupe ushauri wako.
 
Mke wangu Juliana tulioana 1999. Tuna watoto 5. Niko safari. Leo majuma 2 yamepita, sijamtafuta na wala hajanitafuta. Sijui unatushauri tupeane talaka? Tupe ushauri wako.
mimi mwenyewe natafuta suruhishi la penzi langu, wewe ni mke mimi ni mpenzi
 
NIKISOMA KATI KATI YA MSTARI NAGUNDUA KUWA NYINYI NI VIJANA WADOGO!
UWEZO WA AKILI ZENU HAUKUPASWA KUSHUGHULIKA NA MAPENZI BALI MASOMO!
hapana mkuu, sizani kama ni kweli ila naupokea kama nao ni mchango pekee
 
Hujui kusoma hta picha mkuu[emoji848] amka ww kama vip lala muda ndo utakupa majbu sahihi
 
Naomba ni kujibu kwa mtazamo wangu, ukweli miaka 4 ni mingi kwa mtoto wa kike kuendelea kuvumilia especially kama hakuna hatua yoyote ya maana ulishaanza kuchukua kuelekea kuonyesha kubwa naye kimaisha huko mbeleni, kwake anaangalia rika lake au marafiki walioanza mahusiano nyumba yake either walishaolewa au process ziko kwenye hatua ya kuridhisha. So usije ukakuta kuna mtu amempa ahadi za faster, so anaanza kumsoma na kuangalia pia your move. Kingine kama kwao wanakufahamu jua pia yuko under pressure ya ndugu, marafiki, na mama yake kuhusu kuolewa na ww so she might be confused na maneno kutoka kona nyingi. My advice, mtafute ongea naye muweke wazi, kama uko vizuri take the initial steps za kumuonyesha kwamba ana nafasi kwako in your future conjugal life. Kama ni engagement or whatever you will agree between you. Mengine sidhani kama atafunguka sana ,until ume-prove kwake kwa vitendo kwamba you are really considering her in your future
 
sawa sawa mkuu, nimekuelewa sana mkuu
 
Mkuu
Huna Uamuzi Hivyo Lazima Upate Tabu Sana
Hapo Utakuta Voucher Unamwekea Wewe Mwenyewe Na Bado Hakutafuti

Wenzako Wengine Wanapigiwa Simu Kwa Voucher Yako, WhatsApp, Signal Private Message, Haa
Ukimpekua Utakuta Kuna Anayepewa Hoja
 
Ungeza wa pili,watatu,wanne,watano yani wewe ongeza tu, ipo siku utanikumbuka
 
Mkuu
Huna Uamuzi Hivyo Lazima Upate Tabu Sana
Hapo Utakuta Voucher Unamwekea Wewe Mwenyewe Na Bado Hakutafuti

Wenzako Wengine Wanapigiwa Simu Kwa Voucher Yako, WhatsApp, Signal Private Message, Haa
Ukimpekua Utakuta Kuna Anayepewa Hoja
nimepokea ushauri wako mkuu
 
Unatia huruma sana mkuu,ila kama wanaume inabidi tukusaidie,ni hivii.

Nakwambia kwa uzoefu,mwanamke ni kiumbe mtiifu tu,hapendi.kama unadhani alikupenda subiri aolewe na mwingine ndio utaelewa.inawesekana kabisa kakutana na asiye mbabaishaji kaona aweke akili huko zaidi ya kwako.au kakutana na mbabaishaji zaidi yako ila anayempa muda sawa sawa,maana miaka 4 si mchezo kuvumilia.

Wewe endelea na msimamo huo,huku ukiwa na roho ya kiume kabisa kwamba,kama anaamua kukausha jumla basi na aende,sitamtafuta kamwe.

Wengine hali ilikuwa hivyo,siku tumekutana na malaika walioandaliwa na Mungu kwa ajili yetu,tukajua kumbe muda tumepoteza sana na vijitu visivyojitambua.
 
Mapenzi bana ..
Mkuu huyo manzi unampenda sana ndo mana na yeye anajua hilo.Na kingine MNA utoto mwingi .Mkiwa wakubwa mtaacha hizo childish game .
Usikute mwenzio yuko na njemba nyingine huko wanaenjoy.
Nakazia
 
Kijana..unampenda sana uyo dada..usiutesee moyo wako ongeza mapenzi..ayo mambo ya simu sioni kama ni muhimu kupigiana sima kila siku, ni vizuri kama mko mkoa mmoja utengenezee tabia ya kuonana naye kila siku utajua mengi kama ana chiti au vp..simu usipendelee sana...kama una geto lako mjengee tabia awe anakuja shinda apikee , au pia kila ijumaa awe anakuja analala anaondoka jpili.


Lasivyo atakuwa na mahusiano na mtu mwinginee
 
Mkuu mwanamke ukiona anakua hvyo ujue kat ya watu 20 waliomtongoza kuna m1 tiyar kashamkubalia so anawapima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…