secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Mwanamke alikwambia A anamaanisha B....mkuu nikimtafuta neno lake analoniambi yupo sawa kabisa, wala hakuna shida nimejaribu sana kumbembeleza ila wapi, ila mimi naona mabadiliko ya hapa ana pale
1999 na una watoto watano?Mke wangu Juliana tulioana 1999. Tuna watoto 5. Niko safari. Leo majuma 2 yamepita, sijamtafuta na wala hajanitafuta. Sijui unatushauri tupeane talaka? Tupe ushauri wako.
Asipokutafuta wewe jua kuna anayemtafuta na ukizingatia weekend hajakutafuta jua alikwua na jamaa wanakula marahaHabarini ndugu zangu, poleni na majukumua ya hapa na pale, niende moja kwa moja kwenye mada ya andiko hili
nipo na mpenzi wangu, ni mwaka wa 4 sasa na nimepanga kama mungu akijaalia nimuoe mwakani mwishoni, uyu binti nampenda sana sana na tumepitia ups and down za hapa na pale ila kwa ili naomba niwashirikishe kidogo.
Nili note baadhi ya mabadiliko ya hapa na pale katika communication kati yangu mimi na yeye, baada ya kumuuliza kama kuna shida akadai kuwa hakuna shida yeyote (niliona amebadilika tofauti na nilivyo mzoea ndio maana nilimuuliza), akawa ni mgumu sana wa kunitafuta kwa simu mpaka nimuanze mimi (ni kitu kilichoanza ghafla tu maana kwa kawaida lazima tutafutane kila siku asubuhi na jioni kabla ya kulala),
Baada ya kuona mwenzangu amebadilika hayupo sawa sawa na nikimuuliza anadai yupo sawa tu hakuna tatizo lolote na upande wa communication naona kama mimi ndio natumia nguvu nyingi sana kumtafuta wakati mwanzoni haikuwa ivyo kwa upande wangu nikaamua kuchukua maamuzi kama ifuatavyo, "nikajiwekea msimamo wa kutomtafuta tena, kama anaona namfaa basi atanitafuta yeye"-----msimamo huu niliauanza jumatano ya week hii inayoisha leo
Note: kiukweli nampenda sana, ata huo msimamo nimeuweka kwa kujikaza sana sana.
Alihamisi asubuhi alitafuta yeye kwa salamu tu whatsup......nami nilimuhitikia vizuri na kumjibu kama vile hakijatokea kitu
Ijumaa pia alinitafuta tena.......tunasalimiana tu ila sio kwa maongezi malefu (conversation ndefu za sms kama kipindi cha mwanzo)
Jumamos ya jana hakunitafuta, nami sikumtafuta kabisaa siku nzima
Leo jumapili hakunitafuta na mimi pia sijamtafuta mpaka muda huu
kwa upande wangu nahisi upweke wa ghafla tu umenijia, natamani kumtafuta ila nahisi kama amenidhalau,
moyo unanishawishi nimtafute ila akili inagoma kabisa.
naomba waungwana, waliovuka iki kiunzi maana kama kumpenda nampenda na nahisi msimamo nilioweka unaniumiza mimi ebu nisaidieni mawazo yenu wakuu.
huu msimao ni tiba au ni kuchochea moto.?
1999 na una watoto watano?
Una balaa!
Kijana..unampenda sana uyo dada..usiutesee moyo wako ongeza mapenzi..ayo mambo ya simu sioni kama ni muhimu kupigiana sima kila siku, ni vizuri kama mko mkoa mmoja utengenezee tabia ya kuonana naye kila siku utajua mengi kama ana chiti au vp..simu usipendelee sana...kama una geto lako mjengee tabia awe anakuja shinda apikee , au pia kila ijumaa awe anakuja analala anaondoka jpili.
Lasivyo atakuwa na mahusiano na mtu mwinginee
Weeeeee miongo wewe......ili ujue kama anakupenda mwambie bebe leo napiga puli....uone......mi demu wangu tukizinguana huwa namwambia hivi....utasikia weeeeeeeeeeeeeeee nakuja hakuna kujimaliza nguvu kizembe........utajialibu kizazi....basi hilo linakuwa limeisha tayarinamshirikisha kwenye kila jambo ninalopanga kulifanya mkuu
Hata utajiri hauwezi kuja bila ya wewe kuuhangaikia na kuwa na mipango ya kuwa tajiri.wakati wewe umepanga umwambie mwenzio mwakani ndio ufunge nae ndoa hivi umemwambia? Kama katokea mwengine katangaza ndoa na wewe ushakaa nae kwa miaka 4 bila ya ndoa anaona anapoteza muda wake tu. Mfano una ajira miaka 4 hujapata nyongeza ya mshahara kama ikitokea ajira yenye mshahara zaidi ya hapo mwanzo utakaa au utaondoka? Ushauri wangu mtafute mwenzio mwambie malengo yako uliopanga juu yake kama posa peleka na kabisa mwakani funga ndoa. Huwezi kuiwacha furaha yako ikaondoka na kwenda kumfurahisha mwengine. Wacha ari za kitoto yeye kakutafuta siku mbili wewe umeleta maringo baada ya kuona anakutafuta usipoteze mda mtafute kama ndio furaha yako kuwa mwanaume wa kweli.Habarini ndugu zangu, poleni na majukumua ya hapa na pale, niende moja kwa moja kwenye mada ya andiko hili
nipo na mpenzi wangu, ni mwaka wa 4 sasa na nimepanga kama mungu akijaalia nimuoe mwakani mwishoni, uyu binti nampenda sana sana na tumepitia ups and down za hapa na pale ila kwa ili naomba niwashirikishe kidogo.
Nili note baadhi ya mabadiliko ya hapa na pale katika communication kati yangu mimi na yeye, baada ya kumuuliza kama kuna shida akadai kuwa hakuna shida yeyote (niliona amebadilika tofauti na nilivyo mzoea ndio maana nilimuuliza), akawa ni mgumu sana wa kunitafuta kwa simu mpaka nimuanze mimi (ni kitu kilichoanza ghafla tu maana kwa kawaida lazima tutafutane kila siku asubuhi na jioni kabla ya kulala),
Baada ya kuona mwenzangu amebadilika hayupo sawa sawa na nikimuuliza anadai yupo sawa tu hakuna tatizo lolote na upande wa communication naona kama mimi ndio natumia nguvu nyingi sana kumtafuta wakati mwanzoni haikuwa ivyo kwa upande wangu nikaamua kuchukua maamuzi kama ifuatavyo, "nikajiwekea msimamo wa kutomtafuta tena, kama anaona namfaa basi atanitafuta yeye"-----msimamo huu niliauanza jumatano ya week hii inayoisha leo
Note: kiukweli nampenda sana, ata huo msimamo nimeuweka kwa kujikaza sana sana.
Alihamisi asubuhi alitafuta yeye kwa salamu tu whatsup......nami nilimuhitikia vizuri na kumjibu kama vile hakijatokea kitu
Ijumaa pia alinitafuta tena.......tunasalimiana tu ila sio kwa maongezi malefu (conversation ndefu za sms kama kipindi cha mwanzo)
Jumamos ya jana hakunitafuta, nami sikumtafuta kabisaa siku nzima
Leo jumapili hakunitafuta na mimi pia sijamtafuta mpaka muda huu
kwa upande wangu nahisi upweke wa ghafla tu umenijia, natamani kumtafuta ila nahisi kama amenidhalau,
moyo unanishawishi nimtafute ila akili inagoma kabisa.
naomba waungwana, waliovuka iki kiunzi maana kama kumpenda nampenda na nahisi msimamo nilioweka unaniumiza mimi ebu nisaidieni mawazo yenu wakuu.
huu msimao ni tiba au ni kuchochea moto.?
I passed the same experience mkuu miaka 2 nyuma kwa mtu nliekaa nae miaka zaid ya 4, akiwa zaidi ya mapenz, nakuhakikishia kwa asilimia mia kuna mdau ameingilia penzi lenu. Jipe muda ila usijadhalilishe kwa kumtafuta sana, nifanyaj hivyo nikaumia zaid, huyu ana mtu mwingn though bado hana uhakika asilimia 100, wew amekuweka pending ndio maana hakati kabisa mawasiliano, in CASE jamaa hakueleweka anarudi kwako na sound kibao ndio maana hapotei kabisa..kuna mdau kaingilia show, usishnagae ukaona mtu anaolewa kama ivyotokea kwangu! Ila baada ya mwaka alirudi nimpe ushauri wa ndoa yake ili aachike nimuoe! Alilia sana, nimamjibu tu ndoa ina ups n down ongea na mmeo atabadilika! Mungu sio faru john, paaaap nimedaka chombo kingne mara 60 yake weka, fasta ndani, nnavyokwambia anakula sana limao! Anakucheat, utaumia sana, jamaa akieleweka hatarudi kwako, ukimganda atakupa maneno ya kuudhi! Ila nature haitamuacha, pole mkuu najua unapitia nin, nusra nichukue maamuzi ya ajabu!Habarini ndugu zangu, poleni na majukumua ya hapa na pale, niende moja kwa moja kwenye mada ya andiko hili
nipo na mpenzi wangu, ni mwaka wa 4 sasa na nimepanga kama mungu akijaalia nimuoe mwakani mwishoni, uyu binti nampenda sana sana na tumepitia ups and down za hapa na pale ila kwa ili naomba niwashirikishe kidogo.
Nili note baadhi ya mabadiliko ya hapa na pale katika communication kati yangu mimi na yeye, baada ya kumuuliza kama kuna shida akadai kuwa hakuna shida yeyote (niliona amebadilika tofauti na nilivyo mzoea ndio maana nilimuuliza), akawa ni mgumu sana wa kunitafuta kwa simu mpaka nimuanze mimi (ni kitu kilichoanza ghafla tu maana kwa kawaida lazima tutafutane kila siku asubuhi na jioni kabla ya kulala),
Baada ya kuona mwenzangu amebadilika hayupo sawa sawa na nikimuuliza anadai yupo sawa tu hakuna tatizo lolote na upande wa communication naona kama mimi ndio natumia nguvu nyingi sana kumtafuta wakati mwanzoni haikuwa ivyo kwa upande wangu nikaamua kuchukua maamuzi kama ifuatavyo, "nikajiwekea msimamo wa kutomtafuta tena, kama anaona namfaa basi atanitafuta yeye"-----msimamo huu niliauanza jumatano ya week hii inayoisha leo
Note: kiukweli nampenda sana, ata huo msimamo nimeuweka kwa kujikaza sana sana.
Alihamisi asubuhi alitafuta yeye kwa salamu tu whatsup......nami nilimuhitikia vizuri na kumjibu kama vile hakijatokea kitu
Ijumaa pia alinitafuta tena.......tunasalimiana tu ila sio kwa maongezi malefu (conversation ndefu za sms kama kipindi cha mwanzo)
Jumamos ya jana hakunitafuta, nami sikumtafuta kabisaa siku nzima
Leo jumapili hakunitafuta na mimi pia sijamtafuta mpaka muda huu
kwa upande wangu nahisi upweke wa ghafla tu umenijia, natamani kumtafuta ila nahisi kama amenidhalau,
moyo unanishawishi nimtafute ila akili inagoma kabisa.
naomba waungwana, waliovuka iki kiunzi maana kama kumpenda nampenda na nahisi msimamo nilioweka unaniumiza mimi ebu nisaidieni mawazo yenu wakuu.
huu msimao ni tiba au ni kuchochea moto.?
Ungekuwa karibu ningekulipia k- vant Kama ni mtumiaji ...hii comment ni balaa... my only solution kwenye Mambo Kama hiziMimi kwa kweli Nitakua tofauti na wengi..
As long umejitahidi lakini Amegoma,
Hapo ni kula bunda tuuu...
Kama anatest mitambo, hamna sababu kama anavyosema atarudi....
Kama ndio anaondoka, ataondoka tuu, kinyume na hapo unarefusha muda wa maumivu.
Na ni bora ajirudi mwenyewe atakuja na nguvu kuliko kuhangaika kumrudisha, Utalazimisha kumrudisha ,ila kumbakiza hutaweza...
Ligi za ku mute, napitaga na point zote..