Je, kwa ili nililoanza kulifanya kwa huyu mpenzi wangu linaweza kuleta athari kwangu?

Mapenzi bana ..
Mkuu huyo manzi unampenda sana ndo mana na yeye anajua hilo.Na kingine MNA utoto mwingi .Mkiwa wakubwa mtaacha hizo childish game .
Usikute mwenzio yuko na njemba nyingine huko wanaenjoy.

Naunga mkono hoja....
 
Mkuu, relax.

Anayekupenda kwa dhati ataendelea kuwa na wewe hata kama atakuwa na kila sababu ya kukuacha.

Mpe muda. Akikutext mjibu, akinyamaza na wewe kausha hata kama inakuwia vigumu.
 
Tafuta hela tafuta hela tafutaaaaa pesa
 
asante kwa ushauri wako mkuu
 
thank you alot broh, nimepokea ushauri wako kwa mikono miwili
 
received, thank you
 
ok sawa mkuu nimekuelewa
 
Kiongozi hawa watoto wa kike ni kuishi nao tu kwa akili, maana waweza jitoa vile uwezavyo akaona kuwa wewe/me ndo mwenye wajibu, hali ya kuwa naye anapaswa afanye vile unafanya, mfano waweza kuwa na tabia ya kudamka asubuhi kila siku ukampigia simu/kumtumia meseji kumjulia hali, siku usipofanya hivyo analalamika humpendi, wanakera sana muda mwingine.
 
asante mkuu, nimepokea.
 
Narudia kauli ya troublemaker "" usichukulie mahusiano serious """ we relax tuu
 
Kwann usimuite mkaongea face to face, huenda kachoka miaka 4 ni mingi mno na humuoneshi dalili yoyote ile

Kama umeoanga kumuoa muingage labda anaweza jiaminisha yeye ni wako

Kujikaza kisabuni wakati unaumia ni ulofa mtafute mwenzio
Hapa ndipo wanawake wanafeli. Unakaa na mtu miaka 4 bila ndoa, unaona jamaa hana mpango na wewe. Unaamua kuachana naye lakini badala ya kutulia aje muoaji, unaenda kuanzisha mahusiano na mtu mwingine tena kwa kigezo cha "tunachunguzana." Huko nako unakula miaka ya kutosha. Mpaka unashituka umeshakataa waoaji wote yanabaki madanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…