zoyler22 Member Joined Dec 24, 2024 Posts 8 Reaction score 8 Jan 18, 2025 #1 Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Jan 19, 2025 #2 Anza zoyler22 said: Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga Click to expand... Anza ma broiler kwanza,Uko wapi ww
Anza zoyler22 said: Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga Click to expand... Anza ma broiler kwanza,Uko wapi ww
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Jan 19, 2025 #3 zoyler22 said: Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga Click to expand... Idadi ya kuku unaotaka kufuga ndio issue, kwa mtaji huo anza na broiler 100.
zoyler22 said: Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga Click to expand... Idadi ya kuku unaotaka kufuga ndio issue, kwa mtaji huo anza na broiler 100.
zoyler22 Member Joined Dec 24, 2024 Posts 8 Reaction score 8 Jan 19, 2025 Thread starter #4 balibabambonahi said: Anza Anza ma broiler kwanza,Uko wapi ww Click to expand... Dsm... kwa kuanzia naweza fuga kuku wngp
balibabambonahi said: Anza Anza ma broiler kwanza,Uko wapi ww Click to expand... Dsm... kwa kuanzia naweza fuga kuku wngp