Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza ma broiler kwanza,Uko wapi wwNilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara.
Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
Idadi ya kuku unaotaka kufuga ndio issue, kwa mtaji huo anza na broiler 100.Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara.
Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga