Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

Kila mwanasiasa hapa nchini ni mwanachama wa ccm ni suala la muda tu🐒
 
Even Lissu is on the Abdul's payroll. Time will tell.
 
Oyaa, Msigwa kaikimbia Rushwa ya Mbowe!! Usihamishe magoli
 
Unaweza kuonyesha kuwa Lissu alimtetea Msigwa? Mimi nilisikia Lissu akisema ''kuna fedha nyingi sana imemwagwa kwenye kanda hii''. Je, kama mhusika wa hizo fedha ni Msigwa?
Uthibitisho kwamba hakumlenga Msigwa ni pale ambapo baada ya Msigwa kushindwa uwenyekiti wa kanda ya Nyasa alianza kumshambulia Mbowe vikali sana. Na baada ya kumshambulia hata hivyo aliruka mpaka singida akaungana na Lissu ambapo Lissu alimpokea na kumkaribisha.
 
Unaweza kuonyesha kuwa Lissu alimtetea Msigwa? Mimi nilisikia Lissu akisema ''kuna fedha nyingi sana imemwagwa kwenye kanda hii''. Je, kama mhusika wa hizo fedha ni Msigwa?
Wao CCM walitaka Msigwa ASHINDE awe mwenyekiti wa kanda , ili muda wa KUHAMA awe na IMPACT kwao, sasa wakamwaga pesa na Bado Sugu akashinda, Msigwa akabaki kuwa si lolote si chochote, CCM hawakupenda ndio wakaanza kumtuma kwenye vyombo vya habari atengeneze MITAFARUKU, nako akashindwa sasa wameamua wabebe MATI yao hivyo hivyo,kwa sababu hawa kuwa na jinsi.
 
Mafahari wawili hawawezi kukaa Zizi moja .. safari ya Lisu itaishia ACT wazalendo Time will tell
 

H
Haya mambo yanafikirisha sana,Kwa tukio hili yale madai ya Lisu kuwa kuna Abduli anagawa pesa chafu ndani ya Chadema wakati anamkingia kifua Msigwa hayana mashiko kabisa.Kwa namma Hali ilivyo ni kwamba Msigwa ndiye amekubali dau,na Mbowe ndiye mwanasiasa makini.
 
Naona tunamshushia Msigwa zigo la mavi kumbe upande mwingine inawezekana yeye ndio kaonewa aka kanyan'ganywa haki kaona isiwe tabu.

Kunya anye bata akinya kuku kaharisha, tusimuone Mbowe malaika saana.
Hakuna kitu kama hicho,yeye Msigwa Kila siku alikuwa analalamikia matendo ya rushes za uchaguzi ndani ya ccm,iweje leo aikimbie rushes ndani ya Chadema na kuifata iliyopo ccm?Huyu hajaondoka Chadema kwaajili ya rushwa,bali ameondoka kwaajili ya mshiko ule aliokuwa anausema rafiki yake Lisu.
 
Mbona Kule Kenya Raila Odinga ni Kiongozi wa Chama chake tanvu e zi za Moi na hakuna hata Mkenya anaye hangaika kumwambia aondoke.
Solution ni kuruhusu mgombea binafsi tofauti na hapo utawalaumu bure wanasiasa wetu kwanini wanahamahama vyama
 

Ulipoonekana ni mwongo kupitiliza, ni hapo uliposema eti Lisu alimshambulia Mbowe vikali. Hapo ndipo umeonesha ujuha.

Hakuna hata siku moja, iwe kwa maandiko au kauli ya mdomo, ambapo Lisu amewahi kumshambulia Mbowe.

Kama una uthibitisho wa unayoyasema, weka hata quote moja ya Lisu akimshambulia Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…