Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Na atateuliwa huku wewe unaendelea kupiga vuvuzelaUnaweza kukuta naye anaikacha chadema baada ya kutoka ubelgiji😎😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na atateuliwa huku wewe unaendelea kupiga vuvuzelaUnaweza kukuta naye anaikacha chadema baada ya kutoka ubelgiji😎😁
Hii kairuka😅😅😅Mbona husemi Lissu alisema kuna pesa chafu za Abdul zimegawiwa kwa wanachama wasio waaminifu kuvuruga uchaguzi?
Hawa Lumumba buku 7 ni tatizo sana.Hii kairuka😅😅😅
Kwani kuna ubaya gani?😎Na atateuliwa huku wewe unaendelea kupiga vuvuzela
Even Lissu is on the Abdul's payroll. Time will tell.Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?
Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda kumtetea mtu wa Abdul akamuacha mtiifu wa chama chake?.
The Abdul Myth is bigger than Lissu, its possible hata Lissu haelewi mishipa ya Abdul ilivyojaa katika mwili wa CDM, who is Abdul, and how deep he is within CDM?
Msigwa aliposhindwa uchaguzi wa kanda alienda kuripoti moja kwa moja kwa Lissu na kupiga naye mikutano, is Lissu next? Je msigwa amehama CDM baada ya kuongea na Lissu katika mikutano ya hadhara wakiwa wamemtenga Mbowe?
Mbowe angepumzika tu
Oyaa, Msigwa kaikimbia Rushwa ya Mbowe!! Usihamishe magoliLissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?
Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda kumtetea mtu wa Abdul akamuacha mtiifu wa chama chake?.
The Abdul Myth is bigger than Lissu, its possible hata Lissu haelewi mishipa ya Abdul ilivyojaa katika mwili wa CDM, who is Abdul, and how deep he is within CDM?
Msigwa aliposhindwa uchaguzi wa kanda alienda kuripoti moja kwa moja kwa Lissu na kupiga naye mikutano, is Lissu next? Je msigwa amehama CDM baada ya kuongea na Lissu katika mikutano ya hadhara wakiwa wamemtenga Mbowe?
Roho lazima ikuumeKwani kuna ubaya gani?😎
Hata hainiumi🙂Roho lazima ikuume
Uthibitisho kwamba hakumlenga Msigwa ni pale ambapo baada ya Msigwa kushindwa uwenyekiti wa kanda ya Nyasa alianza kumshambulia Mbowe vikali sana. Na baada ya kumshambulia hata hivyo aliruka mpaka singida akaungana na Lissu ambapo Lissu alimpokea na kumkaribisha.Unaweza kuonyesha kuwa Lissu alimtetea Msigwa? Mimi nilisikia Lissu akisema ''kuna fedha nyingi sana imemwagwa kwenye kanda hii''. Je, kama mhusika wa hizo fedha ni Msigwa?
Wao CCM walitaka Msigwa ASHINDE awe mwenyekiti wa kanda , ili muda wa KUHAMA awe na IMPACT kwao, sasa wakamwaga pesa na Bado Sugu akashinda, Msigwa akabaki kuwa si lolote si chochote, CCM hawakupenda ndio wakaanza kumtuma kwenye vyombo vya habari atengeneze MITAFARUKU, nako akashindwa sasa wameamua wabebe MATI yao hivyo hivyo,kwa sababu hawa kuwa na jinsi.Unaweza kuonyesha kuwa Lissu alimtetea Msigwa? Mimi nilisikia Lissu akisema ''kuna fedha nyingi sana imemwagwa kwenye kanda hii''. Je, kama mhusika wa hizo fedha ni Msigwa?
Aende chama gani lisu hawezi kukubalika popote ni mropokaji na ccm wakimkaribisha atawabomoaUnaweza kukuta naye anaikacha chadema baada ya kutoka ubelgiji[emoji41][emoji16]
Ambaye hajatumia akili anajulikana.Tumia akili chache ulizonanzo
Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?
Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda kumtetea mtu wa Abdul akamuacha mtiifu wa chama chake?.
The Abdul Myth is bigger than Lissu, its possible hata Lissu haelewi mishipa ya Abdul ilivyojaa katika mwili wa CDM, who is Abdul, and how deep he is within CDM?
Msigwa aliposhindwa uchaguzi wa kanda alienda kuripoti moja kwa moja kwa Lissu na kupiga naye mikutano, is Lissu next? Je msigwa amehama CDM baada ya kuongea na Lissu katika mikutano y
HLissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?
Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda kumtetea mtu wa Abdul akamuacha mtiifu wa chama chake?.
The Abdul Myth is bigger than Lissu, its possible hata Lissu haelewi mishipa ya Abdul ilivyojaa katika mwili wa CDM, who is Abdul, and how deep he is within CDM?
Msigwa aliposhindwa uchaguzi wa kanda alienda kuripoti moja kwa moja kwa Lissu na kupiga naye mikutano, is Lissu next? Je msigwa amehama CDM baada ya kuongea na Lissu katika mikutano ya hadhara wakiwa wamemtenga Mbowe?
Haya mambo yanafikirisha sana,Kwa tukio hili yale madai ya Lisu kuwa kuna Abduli anagawa pesa chafu ndani ya Chadema wakati anamkingia kifua Msigwa hayana mashiko kabisa.Kwa namma Hali ilivyo ni kwamba Msigwa ndiye amekubali dau,na Mbowe ndiye mwanasiasa makini.Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?
Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda kumtetea mtu wa Abdul akamuacha mtiifu wa chama chake?.
The Abdul Myth is bigger than Lissu, its possible hata Lissu haelewi mishipa ya Abdul ilivyojaa katika mwili wa CDM, who is Abdul, and how deep he is within CDM?
Msigwa aliposhindwa uchaguzi wa kanda alienda kuripoti moja kwa moja kwa Lissu na kupiga naye mikutano, is Lissu next? Je msigwa amehama CDM baada ya kuongea na Lissu katika mikutano ya hadhara wakiwa wamemtenga Mbowe?
Hakuna kitu kama hicho,yeye Msigwa Kila siku alikuwa analalamikia matendo ya rushes za uchaguzi ndani ya ccm,iweje leo aikimbie rushes ndani ya Chadema na kuifata iliyopo ccm?Huyu hajaondoka Chadema kwaajili ya rushwa,bali ameondoka kwaajili ya mshiko ule aliokuwa anausema rafiki yake Lisu.Naona tunamshushia Msigwa zigo la mavi kumbe upande mwingine inawezekana yeye ndio kaonewa aka kanyan'ganywa haki kaona isiwe tabu.
Kunya anye bata akinya kuku kaharisha, tusimuone Mbowe malaika saana.
Solution ni kuruhusu mgombea binafsi tofauti na hapo utawalaumu bure wanasiasa wetu kwanini wanahamahama vyamaMbona Kule Kenya Raila Odinga ni Kiongozi wa Chama chake tanvu e zi za Moi na hakuna hata Mkenya anaye hangaika kumwambia aondoke.
Uthibitisho kwamba hakumlenga Msigwa ni pale ambapo baada ya Msigwa kushindwa uwenyekiti wa kanda ya Nyasa alianza kumshambulia Mbowe vikali sana. Na baada ya kumshambulia hata hivyo aliruka mpaka singida akaungana na Lissu ambapo Lissu alimpokea na kumkaribisha.