Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
1720476898426.png

Ni wazi kwamba Azizi ki anaelekea South Africa.

Je, Yanga wako sahihi kumuacha aondoke au wanakosea?
 
Ni wazi kwamba Azizi ki anaelekea South Africa.

Je Yanga wako sahihi kumuacha aondoke au wanakosea ?

Sio yanga kumuacha. Bali offer kubwa nyingi zipo mkononi kwa agent wa aziz kii.

Ligi yetu haina mapato makubwa ya kufosi kumbakisha mchezaji umlipe mshahara milioni 80 kwa mwezi na signing fee ya mabilioni.

Nabi mwenyewe aliyekuwa kocha wa Yanga amefanya vizuri sana na FAR rabat ya Morocco. Kaizer chiefs wamempa ofa kubwa ambayo Far rabat wenyewe wamekubali Coach wao Nabi aondoke.
 
Sio yanga kumuacha. Bali offer kubwa nyingi zipo mkononi kwa agent wa aziz kii.

Ligi yetu haina mapato makubwa ya kufosi kumbakisha mchezaji umlipe mshahara milioni 80 kwa mwezi na signing fee ya mabilioni.

Nabi mwenyewe aliyekuwa kocha wa yanga amefanya vizuri sana na FAR rabat ya morocco. Kaizer chiefs wamempa ofa kubwa ambayo Far rabat wenyewe wamekubali Coach wao Nabi aondoke
Nabi kafanya makubwa na Fa Rabat?! Kiaje ?
 
Back
Top Bottom