Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

500k usd signing fee na 500k usd salary without bonus sio mchezo. in 2 years ni 1.5 mil usd +bonus

🤔3,983, 697, 000 +

aende tu .
weakness ya aziz over chama ni possession loss in dangerous position.

Anapoteza sana mpira kwa hiyo salary cap team kubwa zitamind in few matches. sema ana strength nyingine nyingi.

so far bonge la mchezaji, atafute new challenge.
Daaaa yamekuwa haya
 
Kuondoka kwa Aziz Ki maana yake Pacome anaenda kuwa huru zaidi, ni sawa na alivyoondoka Feisal, Aziz Ki akaanza kung'ara.

Kwa hiyo tabu ipo pale pale.
Feisal hajawahi kumiliki uwezo hata robo wa kimpira kumzidi azizi. Labda ungesema rangi na kuchezea mataifa mawili hapo sawa
 
Kuondoka kwa Aziz Ki maana yake Pacome anaenda kuwa huru zaidi, ni sawa na alivyoondoka Feisal, Aziz Ki akaanza kung'ara.

Kwa hiyo tabu ipo pale pale.
Alivyoondoka Mayele naona kama Ki akawaka mnoo
Hata mimi nmewaza kama ww akiondoka Ki
Pacome atawaka zaidi, hata kipindi hajapata Injury Pacome alisha mu'overtake Ki akawa kama ndo nembo ya Yanga! Turejee ile Pacome Day
 
Ni kweli kabisa. Kabla ya majeruhi Pacome ndiye alikuwa main man.
 
Nadhani kuna drama inayochezwa kuhusu Aziz Ki, ila imani yangu ni kwamba Aziz Ki bado yupo Yanga kwa msimu ujao na ameshamalizana na Yanga muda mrefu sana. Ngoja muda utupe majibu
 
Back
Top Bottom