Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

Kafanya vizuri kuliko makocha waliopita. Ndani ya msimu mmoja tu aliokaa Kaipeleka Far rabat ifuzu kucheza ligi ya mabingwa africa.
Mbona hata msimu huu wa 2023/2024 wamecheza klabu bingwa baada ya kuwa mabingwa wa Morocco
 
Wanakosea Hersi Said naona km ameanza kubolonga
Matajiri wana hela ndio lakini haimaanishi ndio wanatoa tu hovyo, wasingekuwa matajiri.

Budget imekaba now. Boss kapunguza mzigo sana. So wanaweza muuza ili kubalance na mambo mengine yaende
 
Back
Top Bottom