Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

Nadhani kuna drama inayochezwa kuhusu Aziz Ki, ila imani yangu ni kwamba Aziz Ki bado yupo Yanga kwa msimu ujao na ameshamalizana na Yanga muda mrefu sana. Ngoja muda utupe majibu
Na kweli Mkuu. Muda ushatupa majibu.

Aziz Kii bado yupo kwa Wananchi.
 
Hahahaa huyu jamaa gafla bin vuu naona kaniita Binti. Nikajua ameshoboka labda na picha ya avatar ndio nimemkaribisha inbox tuyajenge 😅Naona ameogopa hana ujasiri kabisa
😂😂 nawe umemkaribisha papo kwa papo hujui hata kukataa! anatakiwa arudi jandoni huyu akafundwe!
 
Back
Top Bottom