Mimi sio UtoNimekutolea reference unataka tukubali ni pigo. Kubali wewe inatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio UtoNimekutolea reference unataka tukubali ni pigo. Kubali wewe inatosha.
Mtamkataa msimu huu. Tunza hii risitiWote waondoke ila Diarra tu, bila Diarra sitoenda viwanjani msimu ujao.
Daaaa yamekuwa haya500k usd signing fee na 500k usd salary without bonus sio mchezo. in 2 years ni 1.5 mil usd +bonus
🤔3,983, 697, 000 +
aende tu .
weakness ya aziz over chama ni possession loss in dangerous position.
Anapoteza sana mpira kwa hiyo salary cap team kubwa zitamind in few matches. sema ana strength nyingine nyingi.
so far bonge la mchezaji, atafute new challenge.
Feisal hajawahi kumiliki uwezo hata robo wa kimpira kumzidi azizi. Labda ungesema rangi na kuchezea mataifa mawili hapo sawaKuondoka kwa Aziz Ki maana yake Pacome anaenda kuwa huru zaidi, ni sawa na alivyoondoka Feisal, Aziz Ki akaanza kung'ara.
Kwa hiyo tabu ipo pale pale.
Walikosea sana. Wangeweza kufika mbali zaidi ktk CAFKwani Mayele alipoondoka Walikosea?
Alivyoondoka Mayele naona kama Ki akawaka mnooKuondoka kwa Aziz Ki maana yake Pacome anaenda kuwa huru zaidi, ni sawa na alivyoondoka Feisal, Aziz Ki akaanza kung'ara.
Kwa hiyo tabu ipo pale pale.
Ni kweli kabisa. Kabla ya majeruhi Pacome ndiye alikuwa main man.Alivyoondoka Mayele naona kama Ki akawaka mnoo
Hata mimi nmewaza kama ww akiondoka Ki
Pacome atawaka zaidi, hata kipindi hajapata Injury Pacome alisha mu'overtake Ki akawa kama ndo nembo ya Yanga! Turejee ile Pacome Day
Basi tuliza kiherehereSio kazi yangu
Are u sure au ni tetesi?
Ni wazi kwamba Azizi ki anaelekea South Africa.
Je, Yanga wako sahihi kumuacha aondoke au wanakosea?
Subiri saa nane leoAre u sure au ni tetesi?
Mwambie yule rais wao waliyembeba ameshatamka bado hawajakubaliana kuongeza mkataba.Sio kazi yangu
Habari yako bintiAziz anaondoka Bure we mama. Mkataba wake umeisha
Poa. Nifate inbox unitongoze basiHabari yako binti
Hua sitongozi mitandaoniPoa. Nifate inbox unitongoze basi
hawana hata soni hawa hawawezi kuzificha si wachawi!Nauliza tu mtaweka wapi sura zenu. 😂😂
Wameishia kupata maumivu mapya. 😂😂hawana hata soni hawa hawawezi kuzificha si wachawi!
Sasa mbona unashobokea mademu wa mitandaoniHua sitongozi mitandaoni
wamejitonesha kidonda two times!..😃Wameishia kupata maumivu mapya. 😂😂