Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

Ni wazi kwamba Azizi ki anaelekea South Africa.

Je Yanga wako sahihi kumuacha aondoke au wanakosea ?

Sio yanga kumuacha. Bali offer kubwa nyingi zipo mkononi kwa agent wa aziz kii.

Ligi yetu haina mapato makubwa ya kufosi kumbakisha mchezaji umlipe mshahara milioni 80 kwa mwezi na signing fee ya mabilioni.

Nabi mwenyewe aliyekuwa kocha wa Yanga amefanya vizuri sana na FAR rabat ya Morocco. Kaizer chiefs wamempa ofa kubwa ambayo Far rabat wenyewe wamekubali Coach wao Nabi aondoke.
 
Nabi kafanya makubwa na Fa Rabat?! Kiaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…