Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

500k usd signing fee na 500k usd salary without bonus sio mchezo. in 2 years ni 1.5 mil usd +bonus

πŸ€”3,983, 697, 000 +

aende tu .
weakness ya aziz over chama ni possession loss in dangerous position.

Anapoteza sana mpira kwa hiyo salary cap team kubwa zitamind in few matches. sema ana strength nyingine nyingi.

so far bonge la mchezaji, atafute new challenge.
 
Baada ya kuona wameshampoteza naona wameanza kushusha thamani na umuhimu wake. Mna Chama lakini kama replacement yake.....
Aziz K ni mzuri lakini bado ni wa kawaida. Kwanza ni mzito, hakabi na hunyang'anywa mipira kirahisi sana, hata speed yake sio nzuri. Uzuri wake ni kwenye baadhi ya dead balls (kumbuka penalty alizopoteza) na mashuti ya kushtukiza. Mwishoni mwa msimu amekuwa na good season ambayo sioni ikijirudia hata akibaki Yanga. Kwake ni peak season hivyo apige pesa iwe kwa kubaki Yanga au kwenda kwingine.
 
Kafanya vizuri Ndani ya msimu mmoja tu aliokaa Kaipeleka Far rabat ifuzu kucheza ligi ya mabingwa africa.
Mkuu, Nabi hajafanya vizuri! Kwani wakati anaichukua hiyo timu, kaikuta ni Bingwa. Yeye kaitelemsha, au kaipotezea ubingwa!
 
Anyway, vyura siku za karibuni mmekuwa na jicho kali kwenye usajili...
 
Ni kweli mkuu kumpa jamaa mpunga mrefu ni risk sana. Ukiangalia takwimu zake kote alipopita hawajai kuwa na takwimu nzuri kama msimu jana kwaiyo inawezekana ikawa one season wonders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…