Je, kwanini ni ngumu kwa Nyoka kuwa ng'ata watoto wadogo?

Aloo yani ukutane na Black Mamba halafu akimbie au king cobra?
Ndiyo. Kawaida wanamwona binadamu hukimbia. Kitu kinachofanya watu waseme kuwa black mamba hufukuza watu ni pale wanachokozwa na kuona kama hawana njia ya kutokea. Hapo wanapambana.
 
Ina semekana nyoka hakuna kitu Kinamkera Kama kutumia sumu yake hovyo

Kama kumg'ata mtu nk

Mala nyingi nyoka hupenda kutumia sumu yake kwa ajiri ya mawindo yake pekee/chakula sio vinginevyo
Anajua vyema kutoa sumu kila mara ni kuharibu mifumo yake,nyoka akitoa sumu Kwa kiasi kikubwa huwa anapoteza nguvu na fahamu
 
Ni kweli kabisa!!na kama wangefanya tofauti angemdhuru hilo ni suala la kisayansi
 
Nikiwa mdogo paka wameshanikwaruza sana kwa sababu ya kuwachokoza.
Ulikua unazidisha uchokozi wako,lkn pia inategemea na jinsi mnavyomtunza huyo paka.
Mfano,paka hapewi chakula nyumbani kwa madai kwamba anajitafutia,hapo huyo hafugwi,bali anazengea tu kwa hiyo hakuna kuzoeana.
 
Nyoka ananusa are you serious
 
Endeleeni tu kudanhanyana siku mtu atalia amwage kamasi debe zima kwa kupoteza mtoto,
 
Watoto wadogo hawana dhambi hatamoja hivyo ulinzi wa Mungu mkubwa sana

Watu wazima dhambi zimewajaa ulinzi wa Mungu haupo
 
Inasemekana Adam na Hawa waliwekewa uadui na nyoka wakiwa watu wazima sio watoto, hivyo uadui wa nyoka ni baina yake na watu wazima.

Inasikitisha sana!
 
Nitamuuliza mungu mwenyewe sijaridhika .mtoto anapokuw mdogo anapoteza matendo tu.na sio amali zake hivyo nisawa nakusema hagain wala kuloose. Kifupi hana adui wala hatengenezi uadui .
 
Ina semekana nyoka hakuna kitu Kinamkera Kama kutumia sumu yake hovyo

Kama kumg'ata mtu nk

Mala nyingi nyoka hupenda kutumia sumu yake kwa ajiri ya mawindo yake pekee/chakula sio vinginevyo
Kama chakula.chake ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…